Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mzee Vladimir ni bingwa wa kutumia polonium kwa mahasimu wake au watu asiowapenda, shahidi wa hili ni mpinzani wake wa mkubwa Alexei NavalnyInawezekana ikawa shughuli ya FSB...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Vladimir ni bingwa wa kutumia polonium kwa mahasimu wake au watu asiowapenda, shahidi wa hili ni mpinzani wake wa mkubwa Alexei NavalnyInawezekana ikawa shughuli ya FSB...
Majamaa wameuwawa kiufundi sana yaani hata wakija wachunguzi watasema ma oligarchy ndio wauwaji wa familia zao na kisha wamejiua wenyewe... chezea Putin putout mzee baba.. ila Putin alisema baada ya matokeo ya kuikosa Kiev kuwa kuna wasaliti ndani ya team yake akabadilisha sana viongozi ndani ya systems zake ndio vifo vikaanza mfululizo alibadilisha hadi mpishi wake