Jameni nani anawaua hawa mabilionea wa Urusi na familia zao "Oligarchies"

Majamaa wameuwawa kiufundi sana yaani hata wakija wachunguzi watasema ma oligarchy ndio wauwaji wa familia zao na kisha wamejiua wenyewe... chezea Putin putout mzee baba.. ila Putin alisema baada ya matokeo ya kuikosa Kiev kuwa kuna wasaliti ndani ya team yake akabadilisha sana viongozi ndani ya systems zake ndio vifo vikaanza mfululizo alibadilisha hadi mpishi wake
 

Maisha ya hovyo sana hayo, ataishia kubadilisha hata mke kama anaye....
Jamaa hata kwenye vikao vyke hapendi akaribiwe na yeyote.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…