secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Walokole ni waisraeli wa kuchemsha mkuuShallom ni salam ya israel kama kusema habari hapa Tanzania.
Cha kushangaza walokole wameifanya salam takatifu
Hapo nimekuelewa. Kuna hii tabia ya kusema roho wa Mungu badala ya roho ya bwana/roho mtakatifu, walokole wana mambo sana. 😂.Mbele za mungu huonyesha ukubwa wa wanacho kiabudu ,ukisema mbele ya ,haina shida ila kuna namna inapunguza mamlaka kwa wanachokiabudu.
Ngoja wakushambulie.Shallom ni salam ya israel kama kusema habari hapa Tanzania.
Cha kushangaza walokole wameifanya salam takatifu
Asilimia kubwa ya waisrael sio wakristoWalokole ni waisraeli wa kuchemsha mkuu
Ni kweli ,ila sisi walokole ni wa Israel piaAsilimia kubwa ya waisrael sio wakristo
Wanishambulie kwa ushahidi sio mihemko.Ngoja wakushambulie.
Sasa ukitaka kutuchokoza sisi walokole basi iseme vibaya Israel uone.Asilimia kubwa ya waisrael sio wakristo
So Mungu wa wa-israeli nyie hasikii kiswahili?Ni kweli ,ila sisi walokole ni wa Israel pia
Ufafanuzi murua sana. Nilikuwa nawatege walokole kama.wataweza kujibu, nashangaa wametoka nduki na wewe pekee ndiye uliyebaki.Acha nikunyorooshe mpiga nyeto
1. Katika lugha ya kiroho, wingi huu unaonyesha ultra power ya MUNGU
2. MUNGU wetu ni mmoja katika nafsi tatu i.e MUNGU BABA, MUNGU MWANA, MUNGU ROHO
-Hivyo mbele za MUNGU zinazozungumziwa ni mbele za nafsi tatu za MUNGU WETU ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI.
secretarybird uliza swali lolote kuhusu biblia..sanzuka
Hakika naona mshaanza kupandisha sukari 😂Sasa ukitaka kutuchokoza sisi walokole basi iseme vibaya Israel uone.
Hapa unasema ROHO WA MUNGU kwa sababu ni super power spirit na ni ya kwake katika nafsi ya huduma katika kufundishaHapo nimekuelewa. Kuna hii tabia ya kusema roho wa Mungu badala ya roho ya bwana/roho mtakatifu, walokole wana mambo sana. .
Ushindwe kwa jina la yesu , wewe una roho ya mpinga KristoSo Mungu wa wa-israeli nyie hasikii kiswahili?
Shallom ina utakaso gani? Ama wapi kwenye biblia wamesema ndio salam rasmi ya kidini na kiroho??
Wewe jamaa ni kigeugeu na mwoga😁Ufafanuzi murua sana. Nilikuwa nawatege walokole kama.wataweza kujibu, nashangaa wametoka nduki na wewe pekee ndiye uliyebaki.
Vumbi tu!
Jibu ni simple tu. Sisi walokole tunaamini chochote tunachoambiwa na wachungaji wetu. Wao ni Alfa na Omega.Wanishambulie kwa ushahidi sio mihemko.
Ndani ya israel wakristo ni 2% peke yake. Majority ni judaism(uyahudi) 74%
Wamezidiwa kwa idadi na waislam 18%.
Dukuduku langu kwanini watumie salam ya nchi nyingine na kuitakasa?
Nina hofu ya mungu mkuu. Nisije chomwa bure.Wewe jamaa ni kigeugeu na mwoga😁
Ushazikata hoja zako.
Tete mjadala
Ukilaani Israel umelaniwaSasa ukitaka kutuchokoza sisi walokole basi iseme vibaya Israel uone.