James Mbatia afanya ziara mkoani Mbeya, apokelewa na Mkuu wa Mkoa na kuhakikishiwa ulinzi


Ina maana hiyo ziara ni matokeo ya kukutana na Rais? Je hao wanachama walikuwa tayari wameshaandaliwa na alienda Ikulu kuomba kibali cha kuwapokea? au ina maana katumwa na mwenyekiti mwenzake wa chama kingine walipokutana ikulu ili wakisha ingia nccr then wapitilize moja kwa moja hadi kijani?
 
Pumbafu sana wewe, unadhani mimi nafuata upepo kama wewe?

Ingia kwenye bio yangu utazame nimejiunga lini jf na michango yangu kwa upinzani.

Mimi siyo mfia tumbo kama nyinyi mashetani wa kijani

In God we Trust
Hawa mapimbi ya Lumumba siku wakijua sisi ni miongoni mwa wanaokula keki ya taifa .ni uzalendo tu unatusukuma kuwasemea wengine, hakika watajinyonga
 
Chadema inasambaratika.
Wengi wameota hiyo ndoto. Kinyume chake wao ndio wamefutika. Mmojawapo namkumbuka ni Steven Wassira. Ndio kwanza akaishia kugaragazwa na kimdada fulani cha CHADEMA kwenye ubunge. Sembuse wewe KORONA Mtambuka?
 
Wengi wameota hiyo ndoto. Kinyume chake wao ndio wamefutika. Mmojawapo namkumbuka ni Steven Wassira. Ndio kwanza akaishia kugaragazwa na kimdada fulani cha CHADEMA kwenye ubunge. Sembuse wewe KORONA Mtambuka?
Kalagabaho.
 
Harufuuu kwa mbaaaaaliiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndoa ilivunjikia wapi?
 
Baada ya kutumikishwa sasa ni Mabomu tu
 
Mungu ibariki JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…