denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Aug 28, 2021 #21 Hii nchi naona hata CCM wameshachoka kuitawala, ni kama vile wanamtafuta mtu wamkodishie, akili zao zime-stuck ndio wakome kuiba kura.
Hii nchi naona hata CCM wameshachoka kuitawala, ni kama vile wanamtafuta mtu wamkodishie, akili zao zime-stuck ndio wakome kuiba kura.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Aug 28, 2021 #22 Mama Samia anaelekeza kushoto lakini jeshi la Sirro linapiga kulia. Je, kuna maagizo mengine huwa anayatoa chemba punde baada ya hutuba yake? Kwa nini maelekezo ya Rais yanapuuzwa na polisi lakini hakuna anayewajibishwa?
Mama Samia anaelekeza kushoto lakini jeshi la Sirro linapiga kulia. Je, kuna maagizo mengine huwa anayatoa chemba punde baada ya hutuba yake? Kwa nini maelekezo ya Rais yanapuuzwa na polisi lakini hakuna anayewajibishwa?
I Izia JF-Expert Member Joined Jun 9, 2021 Posts 303 Reaction score 477 Aug 28, 2021 #23 Dikteta Samia ni ndumilakuwili!