James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

Mama Samia anaelekeza kushoto lakini jeshi la Sirro linapiga kulia.

Je, kuna maagizo mengine huwa anayatoa chemba punde baada ya hutuba yake?

Kwa nini maelekezo ya Rais yanapuuzwa na polisi lakini hakuna anayewajibishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…