TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Job mbali na mapungufu yake kama binadamu wengine, kapiga watu Chenga ya mwili. Ha ha ha ha ha haaaa!hili jamaa nalo nahisi dishi limeyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Job mbali na mapungufu yake kama binadamu wengine, kapiga watu Chenga ya mwili. Ha ha ha ha ha haaaa!hili jamaa nalo nahisi dishi limeyumba.
Huyu na Zitto Kabwe siyo watu wa kuwaamini, ndio maana huwezi kusikia wamefungwa jela hawa.
Tulia weweee...la sivyo utaanza kuhudhuria clinic ya moyo...si kwa hiz hasira ulizokuwa nazo..kpnd cha magu mlikuwa mnanyonga tu kamkujifunza kuchinjaa....sasa yamewafika mnaanza kupiga mikelele....muache ****** avune alichopandaimetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Kama hiyo barua imekosewa maana yake tuna watu wengi ambao hawaisomi katiba, Katiba Mkuu CCM haisomi, Katibu wa bunge haisomi, na wengi wananchi wa kawaida hawaisomi.
Lakini pia inawezekanaje Ndugai kwa experience yake serikalini akosee mtu wa kumu-address? hapa madai ya kulazimishwa kujiuzulu yanapata nafasi kubwa, inawezekana kuna wajinga wameandika barua wakamlazimisha aitume huko kwa KM wa CCM.
Huyu ni kama General Defao tu, siyo wa kuchukua serious. Kuna watu wanamuweka mjiniView attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
We jamaa utakuwa umekatiwa mrija , comment zako nyingi zinatia huruma sikuhizi. Kipindi cha mwendazake ulikuwa unapiga sana makofi, mwacheni SSH ajenge nchi ndio kwanza ana miezi 9.Kumekucha! Unaweza kukuta shughuli ndio kwanza imeanza [emoji2960]