Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Ndio maana Tunataka KATIBA MPYA Kwani Kwa KATIBA ILIYOPO unaweza KUJIUZULU na kumwandikia Barua Msemaji wa Yanga ukimjulisha kuwa umejiuzuluhuu ni umaarufu wa kijinga ,,yani lijitu limejiuzulu mwenyewe nyie mnamtetea,,muacheni aondoke kabisa na wale covid-19
Mwambieni awahi anachelewa Sana.View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Anapambana kutetea legacy 😀😀😀
Mwacheni atanaswa tuu,Hawa condom huwa ndio wazuri kula vichwa kama tulovyokula cha ndugayeHapa kuna mgogoro unatengenezwa na Mbatia anatumika tu.
Kuna jamaa amenishtua kuwa kumbe kuna Politics,kuna Politricks,kuna Polifix,halafu pia kuna Polishits!! Hizi sasa ndiyo polishits.Badala ya kwenda mahakamani kuzuia mambo yanayoumiza watu katika maisha kila siku, mfano tozo, gharama za maisha, wanapinga kujiuzulu kwa spika tena kwa makosa ya ki-protocol kwenye barua. Essentially, all intended recipients wamepata nakala ya barua na meseji imefika. Sasa unaenda mahakamani ili akaandike tena au asambaze tena au afanyaje?- these are what we call cheap politics, cheap popularity!!
imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Achana na hao chawa wapuuzi, hawana habari kuwa ni hiyo hiyo Katiba ndiyo iliyompa madaraka Hangaya. Baada ya kutwaa madaraka haoni tena haja ya Kuiheshimu, kuilinda na kuitetea hiyo Katiba. Kama mazuzu wanashangilia uvunjwaji wa Katiba.WENGI HATUJASOMA KILICHOANDIKWA!! Mbatia anataka kwenda mahakamani ili kumlazimisha spika afuate matakwa ya katiba ya taratibu za kujiuzulu kuliko alivyofanya,,, mbatia anataka Ndugai afuate katiba inavyosema kuhusu kujiuzulu
Huyu ni kama General Defao tu, siyo wa kuchukua serious. Kuna watu wanamuweka mjini
Hujanielewa, na hujui maishani kuwa Mbatia ni mtu wa aina gani! Chakla ya wajanja tu yuleMawazo duni kabisa. Kwanini wewe usiwe ndiye General Defao mwenyewe au hata lile baba lao?
Hujanielewa, na hujui maishani kuwa Mbatia ni mtu wa aina gani! Chakla ya wajanja tu yule
MBATIA UNA TATIZO GANI? INAONEKANA NA WEWE UTAISHIA KAMA NDUGAI. NDUGAI NI KADA WA CCM. MBONA UNAHANGAIKA HOVYO?View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Umesahau ya prof Assad?imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Mbati ni mpinzani wa ajabu kupata kutokea afrika.Uyu hana kazi baadae aliingia ccm, spika eliyekuwa akiwatesa wapinzani yeye analeta shobo shobo za kiafrika