James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

huu ni umaarufu wa kijinga ,,yani lijitu limejiuzulu mwenyewe nyie mnamtetea,,muacheni aondoke kabisa na wale covid-19
Ndio maana Tunataka KATIBA MPYA Kwani Kwa KATIBA ILIYOPO unaweza KUJIUZULU na kumwandikia Barua Msemaji wa Yanga ukimjulisha kuwa umejiuzulu
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Mwambieni awahi anachelewa Sana.

Then tutaona huyo Jaji atakayezuia matakwa ya Serikali ya Samia.

Mwisho atakipata anachotafuta,si alipewaga pesa na Mwendazake huyu anadhani hatujui.
 
Badala ya kwenda mahakamani kuzuia mambo yanayoumiza watu katika maisha kila siku, mfano tozo, gharama za maisha, wanapinga kujiuzulu kwa spika tena kwa makosa ya ki-protocol kwenye barua. Essentially, all intended recipients wamepata nakala ya barua na meseji imefika. Sasa unaenda mahakamani ili akaandike tena au asambaze tena au afanyaje?- these are what we call cheap politics, cheap popularity!!
Kuna jamaa amenishtua kuwa kumbe kuna Politics,kuna Politricks,kuna Polifix,halafu pia kuna Polishits!! Hizi sasa ndiyo polishits.
 
imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.

Na wewe uwe unakua basii😲😲 kwani ndugai kafukuzwa?!si kajiuzulu mwenyewe?unajua maana ya kujiuzulu?

Mtu ajiuzulu mwenyewe afu unasema Mama SAMIA dikteta!!!sijui vinaingilianaje!!!
 
WENGI HATUJASOMA KILICHOANDIKWA!! Mbatia anataka kwenda mahakamani ili kumlazimisha spika afuate matakwa ya katiba ya taratibu za kujiuzulu kuliko alivyofanya,,, mbatia anataka Ndugai afuate katiba inavyosema kuhusu kujiuzulu
 
Achana na hao chawa wapuuzi, hawana habari kuwa ni hiyo hiyo Katiba ndiyo iliyompa madaraka Hangaya. Baada ya kutwaa madaraka haoni tena haja ya Kuiheshimu, kuilinda na kuitetea hiyo Katiba. Kama mazuzu wanashangilia uvunjwaji wa Katiba.

Hakuna asiyempenda Ndugai kama mimi, lakini siwezi kukaa kimya Katiba ya sasa, pamoja na mapungufu yake , ikisiginwa na mtu aliyeapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea. Mwendazake alianza hivi hivi na madhara yake bado yanatutesa hadi leo.
 
Huyu ni kama General Defao tu, siyo wa kuchukua serious. Kuna watu wanamuweka mjini

Mawazo duni kabisa. Kwanini wewe usiwe ndiye General Defao mwenyewe au hata lile baba lao?
 
Kuna baadhi ya wapinzani ni wajinga sana,jamaa kaona umaarufu umeanza kupungua ameona adandie hoja.
 
Mawazo duni kabisa. Kwanini wewe usiwe ndiye General Defao mwenyewe au hata lile baba lao?
Hujanielewa, na hujui maishani kuwa Mbatia ni mtu wa aina gani! Chakla ya wajanja tu yule
 
Hujanielewa, na hujui maishani kuwa Mbatia ni mtu wa aina gani! Chakla ya wajanja tu yule

Hizo Hadithi za vijiweni unazileta huku?

Kumbe wewe hujui maishani sisi tunasikia wewe ni mtu aina gani?

"Tunaambiwa wewe ni chakla ya wajanja eti!"

Habari ndiyo hiyo.
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
MBATIA UNA TATIZO GANI? INAONEKANA NA WEWE UTAISHIA KAMA NDUGAI. NDUGAI NI KADA WA CCM. MBONA UNAHANGAIKA HOVYO?
 
HIVI HUYU SI NDIO CHAMA CHAKE KILITUNUKUWA ," ZE COMING NAMBA MOJA OPPOSITION PART IN TANZANIA" KTK UCHAGUZI WA 2020 NAMAANISHA MWAKA TWENDE TWENDE ? ANA WABUNGE 35 BUNGENI?!?
 
Wanasiasa watanzania wengi wao MAZUZU,
Huyu anaenda kupinga kitu gani mahamani,Ndugai ameomba kwa hiari yake kujiuzulu shida iko wapi engineer?
 
imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Umesahau ya prof Assad?
Mlimwondoka kwa hila hata katiba haikufuatwa. Kosa lake kufichua wizi wa 1.5tn.
Leo ndugai anazungumzia mkopo wa 1.3tn!ENDE TU
 
Back
Top Bottom