James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
20220107_123204.jpg

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
 
View attachment 2071935

Ni haki yake, hajui tu huo muhimili anaokimbilia unalipwa mshahara na Saa 100.
 
imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.

Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.

Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?

Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
 
Ni sahihi kabisa, hatuwezi kuwa Taifa lisiloheshimu katiba yake yenyewe. Ndugai ashauriwe kuandika barua kwa mujibu wa katiba!
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Uyu hana kazi baadae aliingia ccm, spika eliyekuwa akiwatesa wapinzani yeye analeta shobo shobo za kiafrika
 
huu ni umaarufu wa kijinga ,,yani lijitu limejiuzulu mwenyewe nyie mnamtetea,,muacheni aondoke kabisa na wale covid-19
Badala ya kwenda mahakamani kuzuia mambo yanayoumiza watu katika maisha kila siku, mfano tozo, gharama za maisha, wanapinga kujiuzulu kwa spika tena kwa makosa ya ki-protocol kwenye barua. Essentially, all intended recipients wamepata nakala ya barua na meseji imefika. Sasa unaenda mahakamani ili akaandike tena au asambaze tena au afanyaje?- these are what we call cheap politics, cheap popularity!!
 
Ndugayi sasa ndio anaona jinsi alovyowakataa wapinzani
Kumbe wangekuwa msaada wake
Lakini amechelewa ishi na watu vizuri jaman
Hivi kuna mwana ccm hata mmoja aliejitokeza na kuwa upande wake,?
 
imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Dot welle = Deutsche welle
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Mbatia kadata, mahakama kila siku inawatimua kuwa haina uwezo wakuingilia mambo ya Bunge
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
YAANI HUYU NAYE ILE SHUGHURI WANAYOMPAGA WANAUME IMESHAMUHARIBU AKILI KABISAA YAANI BADO ANATAKA UMAARUFU KIJINGA SANA
 
Back
Top Bottom