James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Wazee wa legacy mpoooo!!! Mtapata tabu sana
 
Hizo Hadithi za vijiweni unazileta huku?

Kumbe wewe hujui maishani sisi tunasikia wewe ni mtu aina gani?

"Tunaambiwa wewe ni chakla ya wajanja eti!"

Habari ndiyo hiyo.
Akina James Delicious na Anti Bilali wanafahamika na huyo Mbatia wenu. Kumuingiza Sruxnet kwenye kundi hilo Ili kum discourage asitaje ni sawa tu na kumuingiza brazaj na kumuita boflo wakati SI kweli
 
Habari iliyoenea zaidi ni kuwa James Delicious ni Stuxnet. Avatar mavalio kama kamanda kumbe bwabwa lililoshindikana.

Tafadhali usitumie majina yetu kwenye biashara zako. Wewe na biashara yako na marinda yako inatuhusu nini sisi wengine?
 
Sikikiliza wewe brazaj kwani kama wewe siyo shoga, mtu akikuandika humu JF kuwa ni shoga kwani utakuwa shoga? Waachie wenye fani zao wenyewe akina Mbatia, acha kung'ang'ania kuitwa shoga. Mbona Mbatia mwenyewe hajawahi kubisha mpaka Bungeni alipoulizwa swali na Lyatonga Mrema
 
imetoa funzo kuwa waafrika huwa tunatumika tu kama tambala na kutupwa huko, swala la spika kujihuzuru kisa ametoa maoni yake ni udikteta wa hali ya juu sana.
Cha kushangaza si bbc, Dot welle ya ujerumani ,chadema, Act wazalendo wala Ulimwengu waliokemea udikteta huu!.
Kama ingekuwa ni kipindi cha Magufuli ungeona ambavyo mishipa imewatoka kukemea udikteta kisa tu alikuwa anawabananga kwelikweli kwenye ulaji wao, leo kwa kuwa rais Samia amewaachia wale jinsi wanavyotaka basi wako kimyaaa wanakenua meno kana kwamba hawaoni kuwa kama kiongozi wa mhimili kama bunge anaweza kufukuzwa kwa kutoa maoni je wewe kikaragosi wa Maswa ndani ndani itakuwaje?
Kipindi cha Magufuli hata kufukuza watumishi hewa waliita ni udikteta.
Fact
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.

Kwani hao wabunge wapo hapo kwa kuchaguliwa kisheria Na Katiba?
 
View attachment 2071935
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
Huyu jamaa mpumbavu sana,anasahau ile hongo aliyopewa na ccm kuharibu uchaguzi kule pemba kwrnye kura za maruhani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.

Pia soma

Mbatia.jpg
 
Back
Top Bottom