#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

Mungu akakubali hoja za mbatia na Corona hiyo ikaanze na yeye,

Aaamiiin.
 
Sasa aliye wadanganya kafa na covid ktambooo!!. Lkn Bado mnamuamini tu heeee!!

Jpm hana tofauti na kibwetere!!! Na waumini wake......wabongo bila kuwapiga vichwa kwa nguvu hawaelewi!!! Ndo style ya mkoloni aliyotumia kuwaongoza!!

Chukua chanjo bure watu wanakufa hutaki!! Basi jiponye usituambukize wenzako hutaki!!
Tukufanyeje sasa.....bakora tu zina wahusu!!
Boea nikae na wsjanja tu kieleweke.
 
Mbatia anatafuta kick, hayo anayoitabiria Tanzania hayataoikea kamwe.

Corona haitaipiga Tanzania kiasi hicho anachodai Mbatia.

Kwa wanaofuatilia taarifa za ugonjwa huu, nchi za ulaya na israel zimetoa orodha ya nchi hatari; kwa ugonjwa huo na Tanzania haimo katika orodha hiyo. Mfano Israel wametangaza kabisa hizi nchi na zote hizo wamechanja tayari lakini ukiingia Israel au mataifa hayo ya ulaya lazima ukae karantini na upimwe ingawa umechanja chanjo zote mbili. Lakini katika orodha ya red list hiyo Tanzania haitajwi japo hatujachanja. Maana yake hayo mataifa wanafahamu hali ya Tanzania.

Tusubiri hizo wiki mbili danganya toto ya Mbatia itaprove kuwa ni uongo.
 
Wanaufipa kila siku kucha kutwa nikulitakia mabaya taifa lenu, hivi kwa nini jamaniii? Sawaa watu watakufa sijui nyie mtafaidi nini.
Mapadri na Mashehe wanawahubiri wafuasi wao waache zinaa maana zinaa inaua kimwili na kiroho, kwa hiyo nao wanawatakia mabaya waumini wao. Akili za wana CCM sijui ziko kiungo gani?!?
 
Huyu mzee wa mama Tanzania toka wapelekwe chaka na mwendazake [emoji1787][emoji1787][emoji1787] anatapatapa tu
 
Lakini awamu ya 5 inasingiziwa sana. Kama CIVID Imesambaa tangu awamu ya 5 kwanini mlipuko wa ugonjwa ambao hauwezi kuuzuia USITOKEE? Tangu 2019/2020 virus wako kwenye Inculubation period hapa Tz? Ujinga mwingi tu
Huyu Mwanasiasa uchwara Mbatia ,leo amekuwa Mtabibu pia.
 
We
Wewe umeshachanjwa?
Kama una haraka kaulize wapi mbowe alichanjwa na wewe uende, hujazuiwa.
Unaona watu kuwa wajinga hawataki chanjo wakati na wewe umo.
Kama mbowe alijichanja na kuwa acha nduguze wakifa na corona, sasa huo ndo ujanja?
 
Wanaufipa kila siku kucha kutwa nikulitakia mabaya taifa lenu, hivi kwa nini jamaniii? Sawaa watu watakufa sijui nyie mtafaidi nini.
Tumia hata hiyo akili kiduchu uliyobakishiwa kwenye hilo fuvu lako,toka lini Mbatia akawa mwana ufipa?
 
Kwa nguvu za hoja au hoja za nguvu tu?Au kama beberu asemavyo - rudimentary?
Hizo ngojera za corona.. zisingekuwepo. Sasa hivi ni mwendo wa kutiana hofu na kutisha.. Mke wa zamani wa Bill Gates ( Melinda ) alipata kusema africa tungekufa vibaya sanaa.. matokeo yake ikawa kinyume, wao ndio wakafa sana
 
Mkuu labda nikwambie kwamba hata hao madaktari na wataalamu si kwamba wote wana mitazamo sawa kwenye hili la Corona, hata wao hutofautiana hivyo ni muhimu kuzingatia hilo.
 
Hizo ngojera za corona.. zisingekuwepo. Sasa hivi ni mwendo wa kutiana hofu na kutisha.. Mke wa zamani wa Bill Gates ( Melinda ) alipata kusema africa tungekufa vibaya sanaa.. matokeo yake ikawa kinyume, wao ndio wakafa sana

Hivi kama binadamu unaweza kutiwa hofu na binadamu au wanyama kama Simba, chui, mamba nk?

Au wenzetu labda mnaongea lugha gani nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…