#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

Nimekuuliza hivi kwanini tuwe na taharuki kwenye corona? kwa sababu pamoja na kuwepo vyandarua ila bado watu wanakufa na malaria kama kawaida ila hakuna taharuki.

Tatizo linaloleta taharuki kwenye corona ni ile maambukizi kuwa mengi kwa wakati mmoja na kusabababisha upungufu wa vifaa tiba, oxygen, vitanda na wahudumu wenyewe kwenye hospitali zetu, hivyo vifo vingi. Magonjwa mengine maambukizi yake sio kwa wingi hivyo.
 
Kabla ya corona kuingia Afrika hayo ndio yalikuwa yanahofiwa hadi wengine kufikia kusema tutaokota maiti barabarani kutokana na mifumo yetu ya afya ilivyo.
 
itaanza na yeye. sisi wenzake hatutakufa bali tutaishi tuyasimulie matendo makuu ya Mungu, kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
 
22 July 2021
Manyara, Tanzania

RC MAKONGORO NYERERE CORONA IPO, TUJIKINGE NA TUWAKINGE WENGINE...​

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Mh. Makongoro Nyerere amewataka wananchi wa mkoani huko kuchukua tahadhari juu ya virus vya COVID-19.
Source: Global TV online
 
Sawa, tuanze kuhwsabu.
Naona biashara ya wazungu ya kuuza chanjo imenoga
 
Wanataka tuache miradi yote ya maendeleo tuwape mabeberu wa corona na vibaraka wao fedha za miradi wale. Walaaniwe fisadi wa kimataifa na wa kienyeji.
 
22 July 2021

Tanzania’s President Samia meets former UK PM Tony Blair in Dar​

By Bethsheba Wambura

Dar es Salaam.
President Samia Suluhu Hassan on Thursday July 22, 2021 met and held talks with former UK Prime Minister Tony Blair where the latter pledged to support Tanzania’s war on the Covid-19 pandemic.
Video : Courtesy of Daily News Digital

A statement, issued by the Director of Presidential Communications, Mr Jaffar Haniu, said on Thursday that during the meeting at the Dar es Salaam State House, Mr Blair said through his Tony Blair Institute for Global Change, he was in full support of President Hassan’s development initiatives.

Mr Blair, who served as British PM for ten years starting 1997, set up the Tony Blair Institute for Global Change in an effort to support leaders and governments, drawing primarily on his deep crisis management experience from his time in government.

The Institute also works with African countries during the Ebola crisis to drive its (the Institute’s) response to Covid-19.

According to the State House statement, Mr Blair said his Institute was working within 16 African countries, focusing primarily on implementing the priorities of their governments whereby during the past one year, focus has been on how to deal with the Covid-19 pandemic.

The statement stated that, Blair said in response to the pandemic, his Institution was more concerned with testing and distribution of vaccines, noting that the organisation was ready to help Tanzania to reach out to companies that make the vaccines.

Apart from the Covid-19 pandemic, the Institute was also building the capacity of partner countries to monitor projects in agriculture, energy and technology.

In her remarks, President Hassan said her government was currently working to improve Tanzania’s investment climate in an effort to facilitate a private sector-led growth as outlined in the Third Five Year Development Plans (FYDP III).


On Covid-19, President Hassan informed Mr Blair that the government had already put in place a national strategy on how to address the pandemic, including coordinating the roll out of the vaccines.

Going forward, President Hassan said, the focus was on how to build domestic capacity in vaccine manufacturing. She requested the Tony Blair Institute for Global Change to her government in the initiative.
 


TBI Tony Blair institute for Global Change : Read More :
The analysts and on-the-ground teams at TBI have developed these resources for governments to use in their responses to Covid-19.

 
23 July 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Waziri Ally wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) afariki dunia

Habari zathibitishwa na vyanzo vya karibu na kuwa Waziri Ally alikuwa anapatiwa matibabu ktk Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Source : SimuliziNaSauti
 
02 August 2021

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Shinyanga Tanzania amefariki dunia usiku huu Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa amethibitisha taarifa hizi akisema "Nimepokea taarifa za msiba huu mzito kutoka uongozi wa CCM Wilaya ya Kahama; Mpendwa wetu alikuwa anaendelea na matibabu jijini Dar es Salaam"
 
Hayo Mambo yaliisha semwa sana,na mabwana wenu eti Wafrica tutakuwa tunaokotwa kama takataka barabarani, mwisho mpaka leo tunadunda tena pasipo tahadhali yoyote, Mungu wetu aliyetuumba atatusaidia tena
Mbatia anastahili kupigwa kwa mawe kwa kuwa unabii wake wa kishetani umeshindwa kutimia!! Wiki mbili zilishapita kitambo na tunakimbilia mwezi mmoja na hakuna taharuki ya corona!! Hata hao siri-kali wanajua kuwa mambo ya corona ni fix ya mchana kweupe!! Vinginevyo wasingeedelea na ukimbizaji wa mwenge unaokusanya watu maelfu!! Mbatia hata kama ni njaa ndo unajiuza hivyo kwa mabeberu!! Huu udalali wenu wa corona sijui mnalipwa shilingi ngapi?
 
Mleta huu uzi aka bagamoyo, mwambie huyo kibaraka wa mabeberu aje hapa atuambie hiyo corona aliyotutisha nayo baada ya wiki mbili iko wapi? Takriban mwezi umeshapita tangu atoe uibilisi wake wa kututisha na corona na hiyo corona wanaitafuta kwa tochi!! Mtumie huyo mbatia post yangu #103 na aijibu kama anao huo ubavu! Akome na akome kabisa!! Yesu wetu ni mkubwa!!!
 
Kwa mujibu wa hao Wanazayansi wako hadi leo tangu corona ianze sie wapumbavu wapumbavu tusiofuata hiyo miongozo tungekuwa tushamalizwa

Walituambia kuanzia May 2020 Miji yetu ingekuwa inanuka maiti zilizozagaa mitaani kutokana na vifo vingi vya mfululizo hadi wakatuchorea graphs za vitisho
 
Kama kuna watu wamenunuliwa itapiga sana kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…