#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

Itampiga yeye na ukoo wake.
Hata mke wa Bill gate alitabiri hivyi,yaliyowakuta Marekani wanajua wenyewe.

Hawezi kumpangia Mungu Kama amekula za chanjo zitamtokea puani.
Kama anadhani chanjo ni Kinga akawaulize Ulaya na Marekani wanakotengeneza hizo chanjo.

Badala ya kuwaambia watawala Waite maombi ya kitaifa eti chanjo.
Mnaogopa mkiitisha maombi mtaonekana mnakopi kwa JPM siyo? Na nyie ni werevu zaidi yake.
 
Pumb zake
 
Wakristu tunashida sana na tafsiri yetu ya maombi na kwa kukosa maarifa tunateketea.
Mkuu wewe hauendagi hospitali na ukatumia dawa ukiumwa au unafanya maombi tu?! Mungu anabariki kazi za mikono yetu binadamu na utabibu na yaliyondani yake ni sehemu ya hizo kazi za mikono yetu binadamu.
 
Hivi mliokoka lini wanafiki wakubwa nyie?
 
Unafikiri JPM pamoja na PhD ya kemia aliagiza maombi alikuwa hajitambui?
Hakuna nchi ambayo sayansi imewaokoa na janga hili.
Labda kama waijua kiongozi nijuze.
 
Unafikiri JPM pamoja na PhD ya kemia aliagiza maombi alikuwa hajitambui?
Hakuna nchi ambayo sayansi imewaokoa na janga hili.
Labda kama waijua kiongozi nijuze.
Wapi nimesema hajitambui? Ninamaanisha Mungu pia hushusha neema zake kupitia mikono na akili zetu. Hii ndio maana ya binadamu kuambiwa nendeni mkaitawale Dunia.
Mungu alipopasua bahari ili Waisrael wapite kutoka Misri alitumia mikono ya Musa baada ya kumuuliza, nini hicho mikononi mwako.
Huwezi kuomba tu bila kufanya jambo pale inapobidi mfano, janga kama hili. Nyumba yako ikiungua hauwezi kuacha kuzima na kufanya maombi. Huko ni kumjaribu Mungu wako.
Suala la chanjo tufanye tafakari ya kina maana kuna watu wengi wameshakufa, wameacha familia na labda wangeipata leo wangekuwepo. So yes, Science inaokoa maana Science ni utambuzi wa binadamu toka kwa Mungu.
Suala la Magufuli, tumpe sifa ile tu anayostahili tusije tukapitiliza tukapeleka yasiyo yake, Maana Utukufu ni wa Mungu.
 
Umechambua vizuri kabisa nakubaliana nawe.
Lakini kwenye janga hili Sayansi bado haijatupa majibu,na yenyewe imegeuzwa propaganda.
Fikiria kiongozi anatamka chanjo hi ni salama! wapo serious kweli? wameyajuaje madhara ya muda mrefu?

Wanaielezea chanjo kana kwamba aliyechanjwa hawezi kuugua, kumbe bado anaweza akaugua na kufa pia.

Mimi naona nguvu kubwa ingeelekezwa kwenye kuwaondolea watu hofu kuwa wengi waliopata Corona wamepona,kwa kutumia dawa hizi.
Siyo kuikuza kana kwamba mtu ikimpata lazima afe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…