Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Huu ndio ukweli ndugu zanguCorona ipo na inaua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli ndugu zanguCorona ipo na inaua
Tujiepishe na mizaha ukweli tuache uwe ukweli kinacho endelea Mungu anaona na kukijua kushadidia uongo ni uwakara wa ibirisiHuu ndio ukweli ndugu zangu
Huyu keshakuwa nabii siku hizi?... TUSITISHANE
Kaka yake Mbowe naye vipi Ali brain washiwa na JPM siyo?Chanzo ni jiwe, Aliwa brain wash watz mpaka sasa hawaamini tena chanjo.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Pumb zake17 July 2021
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania
Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.
Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku, vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja. Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.
Source: MwanaHALISI TV
![]()
The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.
We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.
How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.
When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.
Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.
In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns.
These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health
Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19 vaccines
Wakristu tunashida sana na tafsiri yetu ya maombi na kwa kukosa maarifa tunateketea.Itampiga yeye na ukoo wake.
Hata mke wa Bill gate alitabiri hivyi,yaliyowakuta Marekani wanajua wenyewe.
Hawezi kumpangia Mungu Kama amekula za chanjo zitamtokea puani.
Kama anadhani chanjo ni Kinga akawaulize Ulaya na Marekani wanakotengeneza hizo chanjo.
Badala ya kuwaambia watawala Waite maombi ya kitaifa eti chanjo.
Mnaogopa mkiitisha maombi mtaonekana mnakopi kwa JPM siyo? Na nyie ni werevu zaidi yake.
Itampiga yeye na ukoo wake.
Hata mke wa Bill gate alitabiri hivyi,yaliyowakuta Marekani wanajua wenyewe.
Hawezi kumpangia Mungu Kama amekula za chanjo zitamtokea puani.
Kama anadhani chanjo ni Kinga akawaulize Ulaya na Marekani wanakotengeneza hizo chanjo.
Badala ya kuwaambia watawala Waite maombi ya kitaifa eti chanjo.
Mnaogopa mkiitisha maombi mtaonekana mnakopi kwa JPM siyo? Na nyie ni werevu zaidi yake.
Unafikiri JPM pamoja na PhD ya kemia aliagiza maombi alikuwa hajitambui?Wakristu tunashida sana na tafsiri yetu ya maombi na kwa kukosa maarifa tunateketea.
Mkuu wewe hauendagi hospitali na ukatumia dawa ukiumwa au unafanya maombi tu?! Mungu anabariki kazi za mikono yetu binadamu na utabibu na yaliyondani yake ni sehemu ya hizo kazi za mikono yetu binadamu.
Wapi nimesema hajitambui? Ninamaanisha Mungu pia hushusha neema zake kupitia mikono na akili zetu. Hii ndio maana ya binadamu kuambiwa nendeni mkaitawale Dunia.Unafikiri JPM pamoja na PhD ya kemia aliagiza maombi alikuwa hajitambui?
Hakuna nchi ambayo sayansi imewaokoa na janga hili.
Labda kama waijua kiongozi nijuze.
Wapi nimesema hajitambui? Ninamaanisha Mungu pia hushusha neema zake kupitia mikono na akili zetu. Hii ndio maana ya binadamu kuambiwa nendeni mkaitawale Dunia.Unafikiri JPM pamoja na PhD ya kemia aliagiza maombi alikuwa hajitambui?
Hakuna nchi ambayo sayansi imewaokoa na janga hili.
Labda kama waijua kiongozi nijuze.
Umechambua vizuri kabisa nakubaliana nawe.Wapi nimesema hajitambui? Ninamaanisha Mungu pia hushusha neema zake kupitia mikono na akili zetu. Hii ndio maana ya binadamu kuambiwa nendeni mkaitawale Dunia.
Mungu alipopasua bahari ili Waisrael wapite kutoka Misri alitumia mikono ya Musa baada ya kumuuliza, nini hicho mikononi mwako.
Huwezi kuomba tu bila kufanya jambo pale inapobidi mfano, janga kama hili. Nyumba yako ikiungua hauwezi kuacha kuzima na kufanya maombi. Huko ni kumjaribu Mungu wako.
Suala la chanjo tufanye tafakari ya kina maana kuna watu wengi wameshakufa, wameacha familia na labda wangeipata leo wangekuwepo. So yes, Science inaokoa maana Science ni utambuzi wa binadamu toka kwa Mungu.
Suala la Magufuli, tumpe sifa ile tu anayostahili tusije tukapitiliza tukapeleka yasiyo yake, Maana Utukufu ni wa Mungu.