James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

Itafikia kipindi Police wakizuia Jeshi litaruhusu na kuleta Wanajeshi walinde mikutano
 
Mwenyewe najiuliza hiyo awamu anayoita ya sita kaitoa wapi wakati kikatiba ye anamalizia awamu ya Rais aliefariki kabla ya kumaliza mda wake!
 
Angekuwa na akili hata ndogo, angeteua Baraza lake la Mawaziri. Awe na watu waomtii yeye na siyo watu wanaomtii yule aliyezikwa kule Chattle.
Akipata watu wanaomtii ndio kichwa yake itaongezewa akili?
 
Mwanamke haaminiki popote

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wanawake wana akili ya kuongoza vizuri kuliko wanaume. Kuna mifano mingi katika historia. Ila huyu wa kwetu ni wa kubebwa. Kwanza Zanzibar yenye watu milioni 1 ni rahisi sana mtu kubebwa na kufika juu kabisa bila ya kuwa na uwezo. Harakati za ku-balance pande zote za muungano zinawabeba.
Mwanamke haaminiki popote

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…