Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before


πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mbona mnatumia nguvu kubwa sana tatizo ni nn?

This year hakuna uchaguzi tu nadeal na Corona tu, mambo yenu ya siasa mkae nayo nyumbani kwenu
 
Ili kupata kambi rasmi inatakiwa ufikishe asilimia 12.5 ya wabunge wote ambao ni 264 majimbo yote ambapo ni kupata wabunge angalau 33 wa majimbo kitu ambacho NCCR hawawezi kufikisha.
Chadema wao walipata kama 35+.
2020
 
Chubuku on air,njoo chukua buku Saba hapa Lumumba
 
Wait and see Nccr mageuzi walianza mipango Siku nyingi wakati nyie mnazirura mahakamani
Ili kupata kambi rasmi inatakiwa ufikishe asilimia 12.5 ya wabunge wote ambao ni 264 majimbo yote ambapo ni kupata wabunge angalau 33 wa majimbo kitu ambacho NCCR hawawezi kufikisha.
Chadema wao walipata kama 35+.

2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Chadema hamtaki Uchaguzi ?mnaogopa nini?

Ubunge mwisho july
[emoji23] [emoji23] Mbona mnatumia nguvu kubwa sana tatizo ni nn?

This year hakuna uchaguzi tu nadeal na Corona tu, mambo yenu ya siasa mkae nayo nyumbani kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema haipati mbunge hata mmoja mkuu[emoji3]mtafute kazi nyingine ya kufanya
Endelea kuota! NCCR hakitopata zaidi ya viti 3. Mark my words! Vyama vitakavounda kambi ya upinzani ni Chadrma ikifuatiwa na ACT. In fact kuna hatari hata hicho kiti kimoja kama NCCR watapata kama hawatashirikiana na CHADEMA. na ACT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwanachama wa Chadema mmoja Huwezi kutuzuia sisi Watanzania tusichague Nccr mageuzi

Chadema mwafa [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoandika historia ya Upinzani Tanzania Huwezi kumwacha Mbatia, lau muhamiaji kutoka kongo Wewe
Mkuu, Wewe uliye mtanzania hebu ielezee historia ya upinzani Tanzania na waasisi wake. Faida ikiwa ni kuelimishana na kuongeza uelewa na sio kulumbana tu bila tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna like hats moja mpaka sasa hiyo tu ikutoshe kutambua mapenzi ya watanzania kwa mbowe.
 
Unapoandika historia ya Upinzani Tanzania Huwezi kumwacha Mbatia, lau muhamiaji kutoka kongo Wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

MUASISI (sic) neno sahihi ni mwasisi maana yake ni mtu mwenye kuanzisha jambo fulani
Kwa maana ya neno mwasisi kama ulivyooneshwa hapo juu wafuatao ndio waasisi wa Upinzani Tanzania baada ya mfumo wa chama kimoja kuwepo Tanzania tokea 1963
1. James Benard Mapalala Chama Cha Wananchi
2. Christopher Kasanga Tumbo Union for Multiparty Democracy
3. Chief Abdallah Fundikira union for Multiparty Democracy
4. Shaban K. Mloo KAMAMURU
5. Mtikila Christopher -Democratic Party

MAMAHURU na Chama Cha wananchi viliungana baada ya vyama vungi kuruhusiwa na kuundwa cha cha CIVIC United Front CUF Chama Cha Wananchi

NCCR historia yake ilikuwa ni wahadhiri wa kitivo cha sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam na baadhi ya wanasheria, NCCR ilianza kama vuguvugu la kudai katiba mpya , National Convention for Constitutional Review baada ya vyama vipya kuruhusiwa ndio kikaanzishwa chama NCCR Mageuzi

Mfumo wa vyama vingi uliruhusiwa 1992 wakati huo njia ilikuwa imesha tengenezwa na waasisi waliotajwa hapo juu
 
We jamaa unahangaika sana.😁😁😁😁😁
 
Mbatia no opportunist no one. Hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…