James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo

Kwani ujui tozo ni vijisent vya kununulia tu toilet papers za kuchambia IKULU ,
 
Hahaha ujenzi wa vyoo na uviko wapi na wapi?
 
Mama ametuletea mabilioni tumejenga madarasa🖕🖕 Hii nchi tunahitaji wa Watu kama Alphonce Mawazo,Mbowe,Lema,Lissu ...
 
Pasipo kutaka kuingilia uhuru wa mtu katika suala zima la uhiyari wa kuchanja ama kutokuchanja. Naona kama wale wazee wezangu waliokwisha kuchanjwa kama vile tayari madishi yameanza kupata moto na kuuanza kulumbana hadharani pasipo hata kuchukua tahadhari zozote zile.

JPM alisisitiza mno kuhusu usalama wa chanjo hizi kabla ya kuanza rasmi kuzitumia hapa nchini. Ujue si jambo la kawaida kwa wakuu wa mihimili ya dola, viongozi mbalimbali wa kisiasa na taasisi za serikali kujiingiza katika malumbano hadharani pasipo kutafuta namna sahihi ya kufanya hivyo.

Kumbuka UIVIKO 19 bado upo viungani mwetu, kwa hiyo yatupasa sote kuchukua tahadhari zote kuendana na itifaki na kanuni pendekezwa za kiafya.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
wenzako hawana muda wa kusikiliza maelezo, wao kazi yao ni kupotosha na kusimamia upotoshaji wao....kifupi tuko kwenye siasa za propaganda ili kuwin popurality..

Asante kwa kutoa maelezo mazuri..
 
Hahaha ujenzi wa vyoo na uviko wapi na wapi?
Rejea hotuba ya SSH siku wanapokea pesa, alisema nchi nyingi ziliomba hiyo oesa ya uviko, ila Tanzania waliomba hiyo oesa itumike kuboresha elimu na Afya,, na walikubaliwa,,
So logically kuboresha vyoo na madarasa mashuleni inaitwa kuboresha elimu,
Mi sioni kosa hapo, iliekezwa tangu mwanzo kabisa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama ana serikali yake waongo subiri watakaposhindwa kulipa mishahara ndo mtaamini kuwa tumekabidhi nchi kwa mapungu...ni!
 
Asante mkuu.
 
Iliombwa mahsusi itumike pia kuboresha elimu, na ilielezwa, nashindwa kuona mnafail wapi kuelewa hii simple explanation.. [emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Eti umemalizana nami,, so ulitaka wanafunzi wanyee maporini?,
Sio kila mtu amelelewa kibushman mkuu,,
Vilevile kunya vichakani ni very unhygienic... [emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Iliombwa mahsusi itumike pia kuboresha elimu, na ilielezwa, nashindwa kuona mnafail wapi kuelewa hii simple explanation.. [emoji23]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Lakini bado huo ni mkopo na matumizi ya mkopo huo ni kujenga vyoo.

Kama unatetea tukope ili tujenge vyoo mkuu utakua na tatizo kubwa sana lakini hutaki kutambua kuwa unalo.
 
Lakini bado huo ni mkopo na matumizi ya mkopo huo ni kujenga vyoo.

Kama unatetea tukope ili tujenge vyoo mkuu utakua na tatizo kubwa sana lakini hutaki kutambua kuwa unalo.
Kwa hiyo wewe ulitaka vyoo na madarasa yasijengwe ili tatizo la watoto kukosa nafasi za masomo liendelee?
 
Punguani mkuu namjua[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2066197
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Wanamshukuru Rais kwa msaada wakati hilo ni deni la taifa" huu ndio upunguani wa wakuchanganua mambo.
Hasa Ummy Mwalimu anapenda sana kusema Rais katoa. Ila uenda SSH nae anademka na hii kauli.
 
Lakini bado huo ni mkopo na matumizi ya mkopo huo ni kujenga vyoo.

Kama unatetea tukope ili tujenge vyoo mkuu utakua na tatizo kubwa sana lakini hutaki kutambua kuwa unalo.
Bado hujaelewa,, nadhani uko mzito kidogo,, ntakuelewesha taratibu,,
Hizi pesa za uviko, zimetolewa kwa nchi nyingi tu, wengine wamenunua chanjo na vitu vingine,
Sisi specifically tuliomba na TUKAKUBALIWA kwamba hizo pesa zikatumike pia kuboresha, ELIMU NA AFYA,
Hayo aliyasema Rais mwenyewe,
So vyoo mashuleni ni mmoja ya miundombinu ya elimu,,
Watoto wetu hawawezi kusoma vizuri huku wanaenda haja vichakani,,
Umeelewa au bado? [emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ulitaka vyoo na madarasa yasijengwe ili tatizo la watoto kukosa nafasi za masomo liendelee?
Setikali imekusanya trilioni 2.9 kwa mwezi disemba na bado ikakopa 1.3 kujenga vyoo.

Kama 2.9 ilikuwepo kwanini tukope 1.3 kujenga vyoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…