James Mbatia: Viongozi wengi wa Serikali wamekumbwa na upunguani wa uelewa wa mambo

Serikali haikuamua chochote kwenye matumizi ya huo Mkopo, ilikuwa ni lazima utumike hivyo, hiyo ni moja kati ya masharti ya mkopo, isitoshe ni mtu mjinga tu low IQ anayechukuwa mkopo kama nchi kununua ambulance au kujenga Zahanati.
Wewe ni kenge fulani,kwa hiyo kote.walikochukua mkopo wa covid wamefanya kama Tzn? Huna akili.

Serikali ilisema wazi kabisa kwamba sera za huo mkopo ni kutumia kwenye sekta zilizoathirika na covid,sasa vipaombele ni serikali inaweka.

Kasoro kwenye afya ilikuwa lazima wawe na vitanda vya emergency,na mfumo wa usambazaji chanjo.
 
Bavicha mmepewa nafasi ya kupayuka.
Pigeni debe kwa Ndugai.
# Twendeni na Ndugai 2025
 

Hauelewi jinsi Mikopo ya IMF na World Bank inavyotolewa, unapangiwa itumike vipi siyo Serikali inayoamua jinsi ya kutumia hizo fedha, ofcourse Serikali watakwambia wameamua hivi na vile lkn ukweli ni kwamba hawaamui wao bali masharti ndiyo hayo unaambiwa mkopo ukafanye nini mfano hawawezi kuchukuwa hizo hela wakajenga kiwanda badala ya madarasa, got it ?
 
Atahoji kama tu akusoma kwenye madarasa hayo na kunyea kwenye vyoo hivyo.
 
Wewe huna unalijua endelea kukariri ujinga wako ,nakupuuza siwezi hata kukujibu .
 
Wewe huna unalijua endelea kukariri ujinga wako ,nakupuuza siwezi hata kukujibu .

Kajielimishe zaidi, mkopo wa covid is for intended purposes, Serikali wakati inaomba mkopo lazima waseme wataumiaje ndiyo wapewe.

Ndiyo maana Samia alipiga mkwara kwamba lazima madarasa yakamilike kuna sababu kwa nini madarasa yanaandikwa “yamejengwa kwa fedha za Covid“ .
 
Yeye mwenyewe amshukuru sana jakaya
Sasa na wewe badala ya kujadili hoja zake nzito, je viongozi ni punguani?? Je viongozi hawajui hesabu?? Je fedha zinazojenga vyoo, madarasa, barabara nk ni za Rais au ni mikopo??? Jibu hizo hoja zake kwanza...
 
Hii ni hoja nzito sana ukumbuke mwanzilishi wake ni mkuu wa muhimili kwenye serikali
Unaanzaje kusema ni Ishu ndo au unafunika kombe mwanaharamu apite?
Nimesema ishu ndogo kutokana na mbatia mwenyewe aluvyotoa points zake,,
Ndugai anapaswa kwanza atoe mfano, nchi gani imeshawahi kuuzwa mnadani, toka dunia iumbwe[emoji6][emoji6]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ndio
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Daa hii nchi hii,
... Viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye kuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho
Kwanini kichekesho, au kwasababu choo ni store ya kinyesi?
Actually choo kinatakiwa kupewa heshima kubwa sana,, kuta za vyoo zimeona nyuchi za kula aina,, [emoji23][emoji23],very sacred place,,, a shithouse should be treated as such... [emoji1745]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…