Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Kama Zitto eti?Hoja za Mbatia zilishajibiwa. Kiufupi Mbatia huwa anakuwa mkosoaji mkubwa kiongozi akiwa wa dini flani hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Zitto eti?Hoja za Mbatia zilishajibiwa. Kiufupi Mbatia huwa anakuwa mkosoaji mkubwa kiongozi akiwa wa dini flani hivi.
Pesa za tozo si mnalipwa nyie vijana wa buku saba. Au
Lakini tuwe wakweli Wajameni, kwa nini kila heri ya Mradi ilitolewa anapewa shukurani Rais????. Hizo hela ni zake!!
Wewe ni kenge fulani,kwa hiyo kote.walikochukua mkopo wa covid wamefanya kama Tzn? Huna akili.Serikali haikuamua chochote kwenye matumizi ya huo Mkopo, ilikuwa ni lazima utumike hivyo, hiyo ni moja kati ya masharti ya mkopo, isitoshe ni mtu mjinga tu low IQ anayechukuwa mkopo kama nchi kununua ambulance au kujenga Zahanati.
Siasa za Tanzania yahitaji wana saikolojia kuzinng'amua maana zina mabano nukta na koma nyingi sanaBavicha mmepewa nafasi ya kupayuka.
Pigeni debe kwa Ndugai.
# Twendeni na Ndugai 2025
Nchi hii ipo Auto Pilot kwa muda sasa,haina nahodha wala mabaharia-wabunge.Mihimili yote imejiinamia hoi taabani.Wachache sana, hatujasikia wabunge.
Jiheshimu kijana.Labda anadanga
Wewe ni kenge fulani,kwa hiyo kote.walikochukua mkopo wa covid wamefanya kama Tzn? Huna akili.
Serikali ilisema wazi kabisa kwamba sera za huo mkopo ni kutumia kwenye sekta zilizoathirika na covid,sasa vipaombele ni serikali inaweka.
Kasoro kwenye afya ilikuwa lazima wawe na vitanda vya emergency,na mfumo wa usambazaji chanjo.
Atahoji kama tu akusoma kwenye madarasa hayo na kunyea kwenye vyoo hivyo.Tatizo siyo kujenga Choo tatzo ni serikali ina kopa pesa dunian kwa ajiri ya kujenga vyoo nia fedhea kwa nchi yenye rasilimali nyingi sanaaa bora angesema pesa za mkopo tuna malizia reli na bwawa la umeme jamii itaelewa ata wajukuu zetu wakiambiwa Wana lipa madeni ya treni na bwawa la kudharisha umeme watalipa hawata hoji Sanaa kuliko wakija kusikia tulikopa pesa kwa ajiri ya kujenga vyoo, wakati tuna gesi madini halafu unaenda kukopa pesa za vyoo ndo Yale ya awamu ya 4 kwenda kuomba msaada wa neti
Wewe huna unalijua endelea kukariri ujinga wako ,nakupuuza siwezi hata kukujibu .Hauelewi jinsi Mikopo ya IMF na World Bank inavyotolewa, unapangiwa itumike vipi siyo Serikali inayoamua jinsi ya kutumia hizo fedha, ofcourse Serikali watakwambia wameamua hivi na vile lkn ukweli ni kwamba hawaamui wao bali masharti ndiyo hayo unaambiwa mkopo ukafanye nini mfano hawawezi kuchukuwa hizo hela wakajenga kiwanda badala ya madarasa, got it ?
Wewe huna unalijua endelea kukariri ujinga wako ,nakupuuza siwezi hata kukujibu .
Sasa na wewe badala ya kujadili hoja zake nzito, je viongozi ni punguani?? Je viongozi hawajui hesabu?? Je fedha zinazojenga vyoo, madarasa, barabara nk ni za Rais au ni mikopo??? Jibu hizo hoja zake kwanza...Yeye mwenyewe amshukuru sana jakaya
Punguani mwingine huyu hapa...Mbatia siku hizi kama kachanganyikiwa tu, sijui ni uzee,, kutwa kudandia viishu visivyo na kichwa wala mguu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Tangu TRA kuundwa mwaka 1996..Nimeshangaa sana na kasisitiza tangu uhuru hakujawahi kuwa na makusanyo ya namna hiyo
Nimesema ishu ndogo kutokana na mbatia mwenyewe aluvyotoa points zake,,Hii ni hoja nzito sana ukumbuke mwanzilishi wake ni mkuu wa muhimili kwenye serikali
Unaanzaje kusema ni Ishu ndo au unafunika kombe mwanaharamu apite?
NdioKwakweli inashangaza sana fedha za mkopo wanajengea madarasa na vyoo
Wakati tuliambiwa tozo hiyo ndio kazi yake.
Tozo inatumika katika nini???
Kwanini serikali badala ya kujikita katika kukusanya mapato inakimbilia kukopa tu??
Kwanini serikali inawaogopa wafanyabiashara mpaka wakipandisha bei kiholela ipo kimya tu??
Je ndio tuseme kwamba wafanyabiashara ndio wanaoongoza nchi kwa sasa??
Kwanini kichekesho, au kwasababu choo ni store ya kinyesi?[emoji16][emoji16][emoji16] Daa hii nchi hii,
... Viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye kuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho
Ndio wanasiasa wetu walivyo.Mbatia siku hizi kama kachanganyikiwa tu, sijui ni uzee,, kutwa kudandia viishu visivyo na kichwa wala mguu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app