GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Laana ya utapeli itamuandama Lemma, kampeleka jela Lissu halafu akaondoka kwenda kula bata Canada
laana unayo wewe kwa ujinga mama yako na baba yako kuzaa chawa mavi pimbi.
 
Leo cha umma wanaisaidia ccm kuiponda chadema.

Hili linapaswa kuwaambia wananchi kwamba chadema ndiyo chama sahihi.

Mbona hawauzi sera zao badala yake wote wanatoa matamko kuishambulia chadema?

Mkutano mmoja kaongea Yeriko na James, nani anafuata?
 
Siyo tu kiboya, na ulofa wa akili pia. Mzee Mtei angekuwa mpuuzi hivyo,wasingekikuta Chama
Wamemkombia Lisu!! Mapoyoyo kweli kweli mtu mmoja kawatoa mkuku kishenzi🤣🤣🤣
 
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Dogo umetuhaibisha saana. Pamoja na udhaifu mkubwa wa Baba yako nilikuwa nadhani Babu (Mbowe mzee) alipata angalau mjuu mwenye akili kidogo kumbe ndio taka..taka...si mgesubiri basi angalau hata mwanzilishi wa Boma (Chadema) aondoke duniani ndio muasi....aiseee wachagu kwa mara ya nyingine tumehaibika saana....
 
Dogo hata sijui kaongea kitu gani hapo
 
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Huyu dogo aseme ukweli, amehama baada ya baba ake kukosa uwenyekiti, that is the fact..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…