GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Laana ya utapeli itamuandama Lemma, kampeleka jela Lissu halafu akaondoka kwenda kula bata Canada
Yaaani we acha tu. Heche asipoangalia atabaki peke yake. Maana kwenye orodha amebakia Mnyika tu.

Na wewe Heche usiwe mjinga kama ni mbwai na iwe mbwai kama vipi waachie jichama lao. 😀.
How comes Mjumbe wa Baraza kuu sijui Kamati Kuu Mh Lema asepe kwenye kipindi hiki muhimu sana kwa mustakbali wa chama chao..Heche hushtuki tu
 
Mapoyoyo katika ubora wenu
 
Kweli kabisa
 
Halafu Lema haongelei tena No reforms no election.Hapa walikula casser. Hii no Reforms no election ni Lissu na ndoto zake za kuwa Rais at any cost. Yaani Chadema wangeshiriki tu Uchaguzi.Believe me Lissu angepata kura nyingi tu hata kama angeshindwa ila wangepata kujiimarisha kwa kuwa na wabunge wengi na ndo mikakati ya katika mpya ingeanza ili 2030 tufanye uchaguzi chini ya katiba Mpya.
 
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Mtu mwenyewe umesoma shule za KUPANDA MABASI YA NJANO . Unajua nn wewe kuhusu shida za watu?
 
Back
Top Bottom