Hii ni nini? Umetuaibisha, ndicho kiswahiliDogo umetuahaibisha saana. Pamoja na udhaifu mkubwa wa Baba yako nilikuwa nadhani angalau Babu (Mbowe or mzee) alipata angalau mjuu mwenye akili kidogo kumbe ndio taka..taka...si mgesubiri basi angalau hata mwanzilishi wa Boma (Chadema) aondoke duniani ndio muasi....aiseee wachagu kwa mara ya nyingine tumehaibika saana....
Yaani Sijui ingekuwaje, hivi demokrasia aliyotuhubiria mbowe ndo hii? Katengeneza magenge yake kuvuruga chadema mara baada ya kushindwa uchaguziSiyo tu kiboya, na ulofa wa akili pia. Mzee Mtei angekuwa mpuuzi hivyo,wasingekikuta Chama
Anae umia ni Mzee Mtei mwanzilishi wa Chadema Mbowe ni Mkwe kaikuta ChademaDogo umetuhaibisha saana. Pamoja na udhaifu mkubwa wa Baba yako nilikuwa nadhani Babu (Mbowe mzee) alipata angalau mjuu mwenye akili kidogo kumbe ndio taka..taka...si mgesubiri basi angalau hata mwanzilishi wa Boma (Chadema) aondoke duniani ndio muasi....aiseee wachagu kwa mara ya nyingine tumehaibika saana....
Wa kaka marehemu HenryHuyu ni mtoto wa mbowe wa kumzaa au ?
Thank you .Wa kaka marehemu Henry
Mh CDM mna matusi jamn... mpk nawaogopalaana unayo wewe kwa ujinga mama yako na baba yako kuzaa chawa mavi pimbi.
Wewe mbona ulikuwa unaiba waume za watu mpaka ukakimbizwa na chupi mkononi mbona haujalaaniwa?Lemma alaaniwe kila aingiapo na atokapo
Anatembele ubini wa Mbowe, lakini si siasa tu, hata kwenye biashara na kazi ni mwenye uwezo wa chini ya kawaida, sijui hana DNA ya kutosha ya Mbowe!!!!Huyu Dogo kama amesoma akomae na carrier yake tu siasa ni mweupe sana hata kuongea havutii kumsikiliza.
Kwa kifupi uwezo wake mdogo sana jina la mbowe ndio upepo wake.
I still wonder which scientist told Africans that the remaining water after bathing is for washing underwears
Wao wakale ubwabwa tu haina shidaAliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Unajua Lema amekaa Mahabusu kama mwaka mmoja ni miezi kazaaLema ni mzee wa mdomo ila akiskia mahabusu huwa anawakimbia wenzake
Kwa hiyo hii sera atakayokwenda kuombea Ubunge huko Hai? Dogo ni mtupu kichwani amerithi uduwanzi wa babakeAliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
Wamachame sio wachagga Meku .Wachagga wako jimbo la Vunjo tu Mangi .Wachaga mmefeli