Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Shafoo meku ,!Tabia za wachaga zimeandikwa kwenye Kitabu gani nikasome?
Anhaa, au tabia za wizi na udokozi, maana..... wamachame kwa kukwapua ni noma.......
Shimboni shafooo!!! 🙌🙌🙌
Like father like son. Ukute naye hapo alikuwa bwaxi maana hii kauli ni very damaging.Ametoa kauli ya kikabila ambayo haisaidii sana kuzikanusha tuhuma zilizopo kwamba CHADEMA ni chama cha Wachagga.
Huyu jamaa ameonesha ujinga wake.
Yani hakuna Mchaga boya anaweza kuachia Ulaji uende Kwa Mtu back tu tena kutoka Singida
Malaria 2 unamsoma huyu jamaa alichoandika? Umemuelewa?
Wachaga wenyewe wanajuana. Lkn nimefahamu kwamba hakuna mchaga muongo na mnafikiMalaria 2 unamsoma huyu jamaa alichoandika? Umemuelewa?
Miaka 20 ya Lissu alikuwa mshika fedha ya Sacoss. Na sasa anataka aitaifishe akiwa mwenyekiti?Dogo anatetea saccos ya Baba yake
Ni chama Chao 😂😂Hawa Kenge ndo wanadhoofisha chama kwa kauli za ajabu ajabu kama hizi zenye mrengo wa kikabila
...Haahaa huyu nasikia anaandaliwa kurithi nafasi ya mbowe baadae, lema ni mzalendo wa kweli
...yaan chadema bila lissu kushinda Bado itakuwa haijakombolewaKumbe ni familia aisee
Shida kubwa ya mbowe ni ukigeugeu, Hilo limemgharimu, atatoka kwa aibu sanaItakuwa kweli wachagga wanatabia flani hivi ambazo baadhi Yao huziona kama desturi yao, Nina boss wangu ni mchagga kashawahi kunimbia kazi zake hataki wachaga, sikutaka kumuuliza kwa Nini lkn nilitafakali sana isitoshe jamaa ni mtu mzima hiyo kauli hakuitoa Bure Bure. But wachaga wengi wao ni watu poa sana maana Mimi kwenye sekta niliyopo nafanya nao kazi sanaa
Sasa ukiona mpaka lema kamkataa mbowe basi jua Kuna mengi sana ya mbowe anayoyajua. Lema amekataa kufuata tabia za baadhi ya wachagga kama huyo James anavyolalamika
Huyu dogo anajua baba mlezi akisukumizwa nje nae anapotea dadeki. Tabia za kuvuta tu mlungula zama zimewakataa😂
Tabia za wachagga?
Itakuwa Lema kakataa Mlungula
Wamachame, Wamarangu, WaUru, Warombo Sidhani kama Tabia zao zinafanana japo Wote ni wachagga 🐼
Wachaga ni tofauti na watu wa pwani... Watu wa pwani ni waongo waongo na wanafiki. Nadhani kama sifa ni hiyo Lema hajawa mnafiki amesema alichoamini. Ni mchaga hasaWachaga wenyewe wanajuana. Lkn nimefahamu kwamba hakuna mchaga muongo na mnafiki
Huyu anatakiwa apige kimya familia yao inatuhumiwa kujinufaisha kupitia Chama.View attachment 3202818
Nimetafakari kwa kina tabia aliyoonyesha ndugu Lema jana siyo Tabia za Wachaga
Je, tabia za Wachaga zipoje? Aliyemuelewa James anisaidie.
Tabia ya wachaga ni wakabila au wanafuata maslahi binafsi tu?.. Nahisi wana ukabila ila zaidi wao hufuata maslahi binafsi ambayo ni tabia ya wachagga walio wengi.View attachment 3202818
Nimetafakari kwa kina tabia aliyoonyesha ndugu Lema jana siyo Tabia za Wachaga
Je, tabia za Wachaga zipoje? Aliyemuelewa James anisaidie.