James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
 
Kweli kabisa, hapo mchambuzi wa mchele kasahau kusema kwamba kibu yupo offside na amepanda juu ya mchezaji wa prisons.
 
Mi nikajua utaweka picha isiyo na utata kama ile ya goli la utopolo kumbe unabahatisha tu sasa huo mpira uliotoka uko wapi.
Ukiangalia ukiwa umelewa highlife huwezi ona
 
Angalia vizuri picha uliyoiweka utaona kwenye nyavu pembeni kuna hali ya kufutwa kwa kitu. Yaani inaonekana kabisa ni picha iliyo editiwa
Naelewa vizuri sana

Huo uwanja ni mbovu sana afu ukiachana na hiyo hata chaki ya pembeni wamepaka kwa kutumia majivu
 
Naelewa vizuri sana

Huo uwanja ni mbovu sana afu ukiachana na hiyo hata chaki ya pembeni wamepaka kwa kutumia majivu
Kwahiyo na nyavu ilichanika? Kuwa na aibu basi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…