James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

Scars futa hii mkuu. Una heshima yako wacha kuweka mapicha ya kufoji tena yamefojiwa na watoto wa shule. Picha inaonekana kabisa imekuwa edited hiyo
Si kosa mchezaji kiwa nje ya uwanja kurudi na kuucheza mpira ulio ndani, ila ni kosa ikiwa mpira ndo ulikuwa nje.

Sasa sijui mnazungumza nini nyinyi.
 
Kwa angle hiyo, kama wangeruka juu zaidi wangeonekana wapo nyuma ya goli.
 
Screenshot_20220915-072711_WhatsApp.jpg
 
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944
MAKOLO FC hutawaona katika hili, ila wao kushadadia lile tukio katika mechi na azam walikua wa kwanza!!yaani MUNGU fundi sana, karudisha tukio hilohilo upande wao!wako kimyaaaaa!ila lile la YANGA walikua wanashadadia kama wanawake wambea vile!hahahahah!
"WHAT GOES AROUND COMES AROUND"
 
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944
Wewe Mchambuzi ana Makalio Makubwa ( Inye ) kama anayoyamiliki unategemea akawa na Akili Kweli?

Huyo tunamjua ni Shabiki Tukuka wa Yanga SC ulitegemea afurahie wakati jana Simba SC haikucheza tu na Tanzania Prisons FC bali ilicheza na Tanzania Prisons, Yanga SC, Wadhamini GSM na wale wa Solar na Ahadi ya Tsh Milioni 10 walioahidiwa kama wangetoka Sare na Tsh Milioni 20 kama wangeshinda?
 
Hii timu kila mwaka inabebwa na waamuzi, lakini haibebeki.
 
Mchezaji ndo alikuwa nje, mpira ulikuwa ndani? Kuna kosa mchezaji akiwa nje?
 
Ndio yule mwenye tako la maana ambalo akivaa suti linachomoza. Akatafute bwana wachambuzi hao mimi nawaona ni wajinga tu.
 
Back
Top Bottom