James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

Hiyo ni camera illusion, huoni tunasisitiza Azam waboreshe Camera zao ili tuendelee kuishi vizuri na marefa?
Hakuna cha camera illusion bali hapo imefutwa walipokuwa wamesimama wakina Kibu
 
Angalia picha ya post namba 7 halafu linganisha na hiyo picha hii.
Zinautofauti, moja inaonesha Camera man alikaa katika angle ya juu wakati nyingine inaonesha Camera man alikuwa eneo la karibu na ndio maana hadi nyavu ulizosema zimechanika hapo zimeonekana
 
Camera za Azam zisituchonganishe na waamuzi wetu
Nafikiri sawa ya haya yote no VAR, tukubali na itTusaidia. Kimsingi hizi picha za marejeo zinawaumbua waamuzi
 
Point 3 muhimu tayari. Mpira ulikuwa ndani ule kibu alikunja shingo na akaupiga juu zaidi ya beki.
 
Scars futa hii mkuu. Una heshima yako wacha kuweka mapicha ya kufoji tena yamefojiwa na watoto wa shule. Picha inaonekana kabisa imekuwa edited hiyo
Relaaax kaka yangu usipanick mchezo huu hautaki Hasira Rjiga kabalance equation.
 
M

Hapo mwenye kujua kilichotokea ni mpira sasa wauulize ulipigiwa wapi?
Tatizo hawajazoea kuona magoli magumu.

Walitaka kuona magoli ya zari kama Azizi Ki alivyotoa assist ila bahati mbaya likaingia kambani
 
hiyo angle ya picha bado haioneshi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…