Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Kamba iyo sisi tunashushia na maji baridiMchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944
Si kosa mchezaji kiwa nje ya uwanja kurudi na kuucheza mpira ulio ndani, ila ni kosa ikiwa mpira ndo ulikuwa nje.Scars futa hii mkuu. Una heshima yako wacha kuweka mapicha ya kufoji tena yamefojiwa na watoto wa shule. Picha inaonekana kabisa imekuwa edited hiyo
[emoji38][emoji38][emoji38]Camera za Azam zisituchonganishe na waamuzi wetu
MAKOLO FC hutawaona katika hili, ila wao kushadadia lile tukio katika mechi na azam walikua wa kwanza!!yaani MUNGU fundi sana, karudisha tukio hilohilo upande wao!wako kimyaaaaa!ila lile la YANGA walikua wanashadadia kama wanawake wambea vile!hahahahah!Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944
Wewe Mchambuzi ana Makalio Makubwa ( Inye ) kama anayoyamiliki unategemea akawa na Akili Kweli?Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944
Nyie naona mwaka jana mlibebeka vzr hamkuchana mbelekoHii timu kila mwaka inabebwa na waamuzi, lakini haibebeki.
Ni kawaida magoli ya simba siku zote ni ya utata utata na hii yote ni sababu ya hali yao mbaya na wao wanataka heshimaCamera za Azam zisituchonganishe na waamuzi wetu
Kwani yeye anatakaje?Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944
mzabzab Soma Tena Bwana Utam Earthmover Utingo Bad Man Tivu vibesen xxxMchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
View attachment 2356944