James Sinclair: A Friend or Foe?

hivi nyinyi Watanzania mmeyaona hayo mapendekezo yote ya ya hiyo Kamati? of course the next question nitawaacha mjiulize..
 
Yaani hii report imeshafika nje ya nchi wakati hata waziri wa madini hajamaliza kutoa mapendekezo yake kama alivyoelekezwa na mkuu wa kaya, imekuwaje, au mkuu wa kaya aligawa copy, mimi nafikiri tanzania bado report ni siri mpaka waziri wa madini amalize kutoa mapendekezo yake ambayo nafikiri alipewa wiki moja ambayo imeisha leo, perhaps from tomorrow tunaweza kupata copy ya hiyo report.
 
Mapendekezo ya kamati yanaweza kuwa mazuri lakini utekelezaji wa hayo mapendekezo ndio ikawa issue. Kama walivyosema tume imepewa mamlaka tu ya kumshauri Rais nini kifanyike. Rais ndio atakayekuwa na maamuzi ya mwisho.

Lets cross our fingers and hope for the best.
 

Ndugu yangu Zero, crossing our fingers and HOPING is what we have been doing for many years. Hapa cha muhimu ni kwamba we have to take back our country from politicians who are self serving. This has to be done with ballots.
 
Ndugu yangu Zero, crossing our fingers and HOPING is what we have been doing for many years. Hapa cha muhimu ni kwamba we have to take back our country from politicians who are self serving. This has to be done with ballots.

Speaking of ballots, unakuwa kama mgeni na African politics. African leaders want to rule like kings. Hawataki kuwa challenged kabisa wala kuachia madaraka. Akitoka fisadi mmoja madarakani anahakikisha kwamba anayeingia ni fisadi mwenzake ili aendelee kumlinda. Akitoka kiongozi mmoja basi anahakikisha mtoto wake au shemeji yake au ndugu yake kwamba anapata madaraka na kuendeleza ufisadi wake. Tumeona hapa Tanzania jinsi watoto wa vigogo wanavyowania nafasi mbalimbali katika CCM. Unafahamu kabisa jinsi kura zinavyoibiwa kwenye chaguzi nyingi za kiafrika. There is no free and fair elections in this part of the world. Sasa ukisema this has to be done with ballots, its a dream come true. The best option ni kuwa na ...............
 
Last edited by a moderator:


Na hayo ................wewe unaongelea .... lipi hasa ? Si .... wala ****** ambo wote ni mali ya CCM na wote wanaijua CCM na si Tanzania na watanzania .Au kuna ****jipya una ongelea ?
 
Last edited by a moderator:
Na hayo ................. wewe unaongelea ******i lipi hasa ? Si ****************************ambo wote ni mali ya CCM na wote wanaijua CCM na si Tanzania na watanzania .Au kuna ****** jipya una ongelea ?

Naongelea watu wachache ndani ya ***** wenye uchungu na nchi. Au watu ambao sio ******, lakini wanaunda kikundi chao cha ***** (commonly known as "****" groups) na kuanza **********. Tumeona mifano kule DRC na kwingine.
 
Last edited by a moderator:

Hapa kuweka matumaini yoyote ni ndoto ya mchana.Pengine siku tutakapoamka usingizini ndo nchi itafaidika na rasilimali zake.
Bwana Sinclair yupo sahihi,hana haja ya kuwa na wasiwasi wala wenzake wasiwe na wasiwasi.'Mtu wao' ndo mwenye maamuzi ya mwisho.
 
siku mtanzania atanufaika na hizi maliasili zake ni mpaka pale atakapojenga soko lake la ndani na hata hizi ripoti hata zingekaa kamati 100 tofauti ni hewa tu, mimi nawashangaa sana hawa wataalamu wetu wa uchumi nashindwa kuamini kama kweli ni wataalamu wa uchumi au wapo tu kwa ajili ya siasa, kwa sababu wanaona kabisa jinsi waarabu wanavyonufaika na mafuta yao jinsi botswana wanavyonufaika na madini yao na jinsi wachina wanavyonufaika na viwanda vyao,kwanini wasiishauri serikali ikajenga masoko makuwa ya mazao ya maliasili zetu halafu tukajitangaza duniani? hivi ni kweli watanzania wasomi ni makanyaboya namna hii,wao wanachojua ni kuiba tu, sasa nchi itajengwa na nani? hivi hawa viongozi makanjanja wanataka kuniambia wakijenga soko kubwa la dhahabu hapo dar halafu wakajitangaza ktk internet kuwa wana dhahabu na bei yao ni nzuri na wanachimba wenyewe, hamuoni kungekuwa na utitiri wa wanunuzi sasa iweje wale waarabu wa dubai wauze dhahabu nyingi kuliko tanzania wakati hawana machimbo ya dhababu au kenya wauze tanzanite nyingi kuliko sisi wakati wao hawana hata harufu ya machimbo ya tanzanite "SHEM ON LEADERS"
 
Naongelea watu wachache ndani ya ***** wenye uchungu na nchi. Au watu ambao *******, lakini wanaunda kikundi chao cha ********(commonly known as "*****" groups) na kuanza ********. Tumeona mifano kule DRC na kwingine.

Sio Tanzania kaka yangu Zero. Yaani watanzania tunaogopa CCM zaidi ya tunvyomuogopa Mungu. Huwezi kupata nafasi ndani ya *****, **************, kama wewe sio muumini mzuri wa CCM. Umewahi kuona wapi mtoto anamgeuka baba yake? Wapo lakini wachache sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii Kali. Mzungu ana copy wakati sisi wenye nchi hatuna!

Naweza kusema tu kuwa hii ni kali ...
 
Duh, hii kweli kali na inauma sana.

Kumbe all this time watu wako serious wanafanya kazi muda wote huo watoe ripoti isaidie Tanzania, leo hata watanzania hatuna ripoti mzungu tayari anayo.
Kisha kwa majigambo anasema Tume haina mamlaka, mwenye mamlaka ni Rais!!!!!! Hiyo ripoti inaonyesha inawakaanga hao investors, ila sasa 'investor' aliyekimbiziwa ripoti keshasema haina mamlaka, bali ni 'Rais'. Anataka kusema nini hapa??? Inamaana Kikwete ndo atawalinda??? Awalinde against nani??? Sisi Watanzania???

Nadhani Serikali inatakiwa itupe majibu.
Kwanza inakuwaje huyu mtu ana ripoti wakati watanzania(wadau wakuu hatujaiona)?? Nani kampa hiyo ripoti??? Je, hao wazungu wengine wote washapewa ripoti?? Watanzania inakuwaje wasiwe nayo hali hawa mabepari tayari wanayo?? Who is this government serving....watanzania au hawa mabepari???
Bila haya majibu, mimi naendelea kuamini kwamba ni watanzania wenzetu wanaotuuza kwa hawa watu. Leo viongozi tuliowachagua inakuwaje ripoti inatoka wanawakimbizia hawa wakoloni??
Aisee wandugu inaniuma sana....
 
yaani nimeamini kama there is no helping Tanzania!
yaani ripoti unaenda kumpa mzungu kwanza wananchi wako hujawaambia yaliyomo kwenye ripoti!
kisha huyo mzungu anatoa comments wananchi kama wajinga hawajui wamjibu nini!
hivi kwa nini JK anatunyanyasa hivi? huu ni unyanyasaji.....anawapa wazungu haki ya kutuvunjia heshima ndani ya ardhi yetu!
 
Kwa hiyo Balali naye kafa???

We binamu wa nyani mwenyekuiga tabia za kuhamakaki za NYANI NGABU ambaye sidhani kama unaijua JF na rules zake na ikawaje ukapost ktk forums na kujua utaratibu kuwa issue nyeti hazikai thread ya udaku?? Pia naamini friday ilianza vyema na itaisha kwa kishindo. Kwa taarifa yako siku hizi ZIRAILI anajua kusoma maana zamani alikuwa anajua kusikia na kuona tu... mie simo
 
Kwa hiyo Balali naye kafa???

We binamu wa nyani mwenyekuiga tabia za kuhamakaki za NYANI NGABU ambaye sidhani kama unaijua JF na rules zake na ikawaje ukapost ktk forums na kujua utaratibu kuwa issue nyeti hazikai thread ya udaku?? Pia naamini friday ilianza vyema na itaisha kwa kishindo. Kwa taarifa yako siku hizi ZIRAILI anajua kusoma maana zamani alikuwa anajua kusikia na kuona tu... mie simo

Mzee Mwanakijiji imekuwaje ukaacha uongofu wako?? au ulitaka kucheka wikend???
 
Hivi nikisema Sinclair kamweka Kikwete mfukoni nitakuwa natukana?
 
Nadhani JK ama wasemaje wake kama akina Salva wana jambo kutueleza sisi .Kama Ikuku ama waandishi hawana habari za Sinclair basi tume weka hapa ziwasaidie kuhoji inakuwaje Mzungu anasema haya yote .Ni baada ya kusoma report na kuamua kuongea na wezi wenzake sasa.

Kuna tetesi kwamba Sinclair amekuwa rafiki wa JK kwa miaka 19 that means hata uchaguzi wazungu wako tayari kuona tunakufa a CCM inarudi madaraka .Vita hii ni kali sana na mwisho wake sijauona .
 
Kifupi nchi imeliwa.....hakuna haja tena ya kutazama nyuma, tuelekeze nguvu zetu kuiangusha serikali ya CCM. Maswali mengi tunajiuliza kupoteza muda wetu wakati tunaelewa wazi kuwa serikali hii imekuwa mzigo mkubwa kwa wananchi!.

How in the hell, Sinclair awe na taarifa ya kamati ya Madini kabla ya wananchi?... Mchezo gani huu unachezwa hapa..
 
JK is happy kuwachekeachekea hawa wazungu na ni mnafiki mkubwa kwa wapiga kura wa Tanzania kwa sababu hajui wajibu wake kama rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Madhambi anayoyafanya hayana tofauti na aliyofanya che-nkapa. Time will tell nani leo hii alifikiri Robert Mugabe angekuwa kwenye dhahama aliyonayo, atakapokwenda jela ndio atafahamu pesa ya walipa kodi siyo ya kuchezea.

Kitu kingine ni kwamba JK ana inferiority complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…