Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
hivi nyinyi Watanzania mmeyaona hayo mapendekezo yote ya ya hiyo Kamati? of course the next question nitawaacha mjiulize..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapendekezo ya kamati yanaweza kuwa mazuri lakini utekelezaji wa hayo mapendekezo ndio ikawa issue. Kama walivyosema tume imepewa mamlaka tu ya kumshauri Rais nini kifanyike. Rais ndio atakayekuwa na maamuzi ya mwisho.
Lets cross our fingers and hope for the best.
Ndugu yangu Zero, crossing our fingers and HOPING is what we have been doing for many years. Hapa cha muhimu ni kwamba we have to take back our country from politicians who are self serving. This has to be done with ballots.
Speaking of ballots, unakuwa kama mgeni na African politics. African leaders want to rule like kings. Hawataki kuwa challenged kabisa wala kuachia madaraka. Akitoka fisadi mmoja madarakani anahakikisha kwamba anayeingia ni fisadi mwenzake ili aendelee kumlinda. Akitoka kiongozi mmoja basi anahakikisha mtoto wake au shemeji yake au ndugu yake kwamba anapata madaraka na kuendeleza ufisadi wake. Tumeona hapa Tanzania jinsi watoto wa vigogo wanavyowania nafasi mbalimbali katika CCM. Unafahamu kabisa jinsi kura zinavyoibiwa kwenye chaguzi nyingi za kiafrika. There is no free and fair elections in this part of the world. Sasa ukisema this has to be done with ballots, its a dream come true. The best option ni .....................
Na hayo ................. wewe unaongelea ******i lipi hasa ? Si ****************************ambo wote ni mali ya CCM na wote wanaijua CCM na si Tanzania na watanzania .Au kuna ****** jipya una ongelea ?
Re: Chairman's Corner - Friday, May 30, 2008
Title: Changes to Tanzanian Mining Law Certain
to Benefit Mineral Explorers
Author: Jim Sinclair
Dear Friends:
President Jakaya Kikwete of Tanzania formed a
committee last year to review the country's Mining
Law. This body has a name that describes its mission
and limitations: "The Presidential Committee to
Review and Advise Government on Management of the
Mineral Sector."
I've had the privilege of reviewing the Committee's
recommendations - along with comments from the
Chamber of Mines - and have no serious issues with
them. What's important to know, however, is that the
man who will make the final decision on the
recommendations is the President - not the
Committee.
Regards,
Jim Sinclair
Naongelea watu wachache ndani ya ***** wenye uchungu na nchi. Au watu ambao *******, lakini wanaunda kikundi chao cha ********(commonly known as "*****" groups) na kuanza ********. Tumeona mifano kule DRC na kwingine.
Hivi nikisema Sinclair kamweka Kikwete mfukoni nitakuwa natukana?