James Sinclair: A Friend or Foe?

James Sinclair: A Friend or Foe?

Lets not nill down kwani hadi sasa kuna mabadiliko makubwa na hata wabunge wengine wanaelekea kuhoji juu ya jambo hili hivyo ni suala la muda tuu huyu kama anaona kuwa sisi sio raia na yeye ndiye basi ajue kuwa tutamshughulikia kwani hata SISIMIZI NI MDOGO ILA ANAWEZA KUMUUA TEMBO MNYAMA MKUBWA .sisi sisimizi its a matter of strategy......

Na kama kuna kiongozi wa serikali amejeribu kumpotosha kuwa hao yaani sisi ni wafa maji basi amekwisha huyu jamaa tutakula naye mpaka kieleweke.

Endeleeni kusambaza barua husika kila kona na mabunge ya Commonwealth kila uchwao, kuna wabunge wa nchi za kiafrika wataanza kuhoji nasi tusiwe nyuma hata kidogo.
 
Barua yetu tuwapelekee stake holders wake hadi wachanganyikiwe ili ashindwe kuwahadaa ,na inampasa ajue kuwa kwa sasa hapatakuwa salama kama uwekezaji wenyewe ndio huu wa kuitukanisha nchi na viongozi wake .

Hata kama Rais wetu ni mwenye uwezo mdogo hatutaruhusu hata siku moja kutukanwa na the so called mwekezaji.

Mr.President we are expecting what you did in the MAPANKI issue not less than that we will awaken the public on this matter.
 
[/FONT]

Jamani huyu jamaa anaonekana ni powerful kiasi kwamba anawanyang'anya uraia wa Tanzania Kuhani Mkuu,MKJJ na JF members

Na unajaua watu wengi hawajagundua kuwa hii ndio ingekuwa main concern yetu.

Kuuuchezea utaifa wetu!! Kuuchezea Utu wetu kwa vijisenti vyake.

Nidharaua kiasi gani?

Alafu ona...

... whose commentary reads like it comes from a standard playbook

Kweli tumedharauliwa kuliko mababu zetu wale wazamani..Tukaeni vema kuanza kupigania uhuru mara ya pili!

Lakini ninchaojifunza kwa huyu bwana...sioni anatatizo sana ..tutambwagachini..unajua vipi?

Basicaly nature yake haijatulia kabisa... anafaa kuviringisha.

NA

Tukimpeleka hivi....Inaonekana kabisa ata Loose control. Kitakachofuatia ataropoka, na sisi..tutanyoosha goti mpaka 120Km/hr.

Tutampleka. Huyu hata akiamabiwa jinsi tutakavyo m_Manage atatupuuzia kama viongozi mafisadi wanvyo puuzia ..kuja kushtuka wameshapoteza mchezo.

Wameshakuwa fully exposed to what they are...Sin C. hanatofauti. Hizo dharau na Nyodo zake zinatupa picha...Ni kwenda naye tu!
 
JK lazima ajisafishe kwenye hili la sivyo tutajua kuwa kumbe kamati zake zote ni feki na huwa ni mpaka aruhusiwe na wakina Sinclair ndipo anafanya maamuzi.

Tunasubiri tamko rasimi la serikali juu ya huyu mtu ASASP
 
Jamani harakati zetu zimejibiwa na Sinclair ! Kuna watu wake humu wanampasha habari.

Sasa katoa nasaha mpya kwa wasikilizaji wake kuwa kila kilichokuwa kwenye ripoti ya kamati ya Rais, kilitangazwa hadharani na viongozi wa Tanzania kabla ya kamati kuwasilisha ripoti.

Mbona anasema alivyochangia hasemi alivyochukua?
 
Petition: Mr. Sinclair should Stop divulging privileged government information and should not have access to them before the Tanzanian General Public:

Dear Mr. Jim Sinclair,

Recently you released a public statement regarding the mining industry in the African country of Tanzania, that has touched off a justifiable outrage in the Tanzanian Cyberspace and in some segments of the Press.

You wrote that you've had "the privilege" of seeing the yet-unreleased Presidential report on the ailing, corruption-laden mining industry in Tanzania. People are wondering how a foreign investor was able to gain access to a report which has just been turned over to the President by an inquiry commission, before the real stakeholders of the country's mineral resources have had a chance to see it.

Such a blatant leak of a presidential report would have been a no-no in Canada or the US, where your businesses originate from. So, why lower the standards when dealing with small countries Mr. Sinclair? We may be regarded as, or I guess we are, insignificant, impoverished, little failing states on the edge of the universe, but we are not cadavers yet, and such flagrant disregard of our laws and honor of the Presidency is extremely disconcerting to some of us, citizens, albeit the President himself is not bothered, if he actually gave you "the privilege" of a peek at it!

And Mr. Sinclair, if the Commission or the President, whose praise you lavishly sing, had the inexplicable friendliness to show you the report before its formal release to the general public, why would you disparage the people and the Commission with your thinly veiled call to the President not to follow recommendations to fix a malfeasant industry which serves but a venal few? And if you have no problem with the report's recommendations, as you confusingly wrote, why, then, tell the President not to disturb the markets with the report's recommendations?

We just don't know who gave you the "privilege" to see this report before us, the people.

Such international, self-serving influence peddling is the type of superpower hegemony that is decried around the world. The type of paternalistic thinking that's giving America, and her Western cronies, a bad name. It provides excuses to those who cause destabilizing atrocities we are seeing around the world!

We were extremely puzzled and dismayed! Mr. Sinclair, whatever privileged information you might have from His Excellency, we ask you to refrain from discussing or distributing to the public as long as that information is not available officially to the general public. If you don't halt your public dissemination of privileged information you might have, we will consider that to be a clear and present assault to the dignity, independence and honor of the Tanzanian people and our way of life.

We will consider you not as a friend to our country and Tanzanian people but an emerging and obvious threat to our quest for equality, dignity and prosperity or us and our posterity. In our own way we will mount a PR offensive against you and the presence of your investments in Tanzania, till you apologize for this and halt your offensive actions. This we will do.

Sincerely,

Consortium of concerned Tanzanian Citizens,
Organized by : JamiiForums.com

My Take:

Nimeongeza hiyo bolded area Kwa wale ambao hawakutuma bado.

It will be wise as well kuituma kwa magazeti tofauti na stock exchanges za Toronto na USA, lazima kuna mtu au kikundi wataichukua na kuiweka kwenye media. Hawa walafi wanaokula bila kunawa mikono lazima tuwaanike.

Naona tuitume tena hii weekend akifika Jumatatu akute moto bado unawaka au kama anaingia huko nyumbani kusilalike.
 
From: E. Kimasha
Sent: June-07-08 9:36 AM
To: investors@TanzanianRoyaltyExploration.com
Cc: information@jsmineset.com; madini@africaonline.co.tz
Subject: Open letter to Jim Sinclair of Tanzanian Royalty Exploration Corp.

Dear Mr. Jim Sinclair,

Recently you released a public statement regarding the mining industry in the African country of Tanzania, that has touched off a justifiable outrage in the Tanzanian Cyberspace and in some segments of the Press.

You wrote that you've had "the privilege" of seeing the yet-unreleased Presidential report on the ailing, corruption-laden mining industry in Tanzania. People are wondering how a foreign investor was able to gain access to a report which has just been turned over to the President by an inquiry commission, before the real stakeholders of the country's mineral resources have had a chance to see it.

Such a blatant leak of a presidential report would have been a no-no in Canada or the US, where your businesses originate from. So, why lower the standards when dealing with small countries Mr. Sinclair? We may be regarded as, or I guess we are, insignificant, impoverished, little failing states on the edge of the universe, but we are not cadavers yet, and such flagrant disregard of our laws and honor of the Presidency is extremely disconcerting to some of us, citizens, albeit the President himself is not bothered, if he actually gave you "the privilege" of a peek at it!

And Mr. Sinclair, if the Commission or the President, whose praise you lavishly sing, had the inexplicable friendliness to show you the report before its formal release to the general public, why would you disparage the people and the Commission with your thinly veiled call to the President not to follow recommendations to fix a malfeasant industry which serves but a venal few? And if you have no problem with the report's recommendations, as you confusingly wrote, why, then, tell the President not to disturb the markets with the report's recommendations?

We just don't know who gave you the "privilege" to see this report before us, the people.

Such international, self-serving influence peddling is the type of superpower hegemony that is decried around the world. The type of paternalistic thinking that's giving America, and her Western cronies, a bad name. It provides excuses to those who cause destabilizing atrocities we are seeing around the world!

We were extremely puzzled and dismayed!

Sincerely,

Concerned Tanzanian Citizen,

MAJIBU YAKAJA HAYA:-

From: Tanzanian Royalty Investors <investors@tanzanianroyalty.com>
Date: Thu, Jun 12, 2008 at 11:51 PM
Subject: RE: Open letter to Jim Sinclair of Tanzanian Royalty Exploration Corp.
To: E. Kimasha, madini@africaonline.co.tz
Cc: information@jsmineset.com, james sinclair <trechairman108@mac.com>

Dear Sir/Madam:
My comments are quite in order, they are neither offensive to the Tanzanian public nor to the President and his Government. The fact that key contents of the Commission's report were discussed publicly in the international press prior to my note - and are still being discussed both locally and internationally – effectively brings the report into the public domain. Editorial commentary concerning the report was carried on major wire services and on CNN International and Bloomberg Financial weeks before my brief and respectful commentary.
Sincerely,
James Sinclair

MUHIMU: Kwa wale mtakaotuma barua pepe kwenda kwa Jim tafadhali tuma nakala kwenda kwa madini@africaonline.co.tz
 
Enyi Wadanganyika nani aliye waroga?.Badala ya kulaumu matokeo kwa nini msiweke nguvu zenu kwenye chanzo?. Ina maana huyo sin-clear aliiba hiyo riport? na kama alipewa na rafiki yake sasa yeye ana kosa gani kuizungumzia pia kwa rafikize?.
Aliyempa hakujua kama ni siri? na kama angeona ni siri naamini angemwambia kuwa amempa ripoti lakini asiitoe hadharani na yeye angemsikiliza kwa vile ni maswahiba tangu mwaka 1994 alipopewa mgodi wa Bulyahulu badala ya Butobela kulingana na mkataba.
Kwa vile rahisi wenu alishawasoma wadanganyika kuwa hamnazo ni watu wa filimbi,wala hawamnyimi usingizi ndo maana hakuwa na wasiwasi wowote kumpa rafikiye/mwanahisa mwenzie taarifa hiyo muhim kwa biashara yao.
Maoni yangu badala ya kukimbilia kuandika 'petition' kwa sin-clear ni bora hiyo petisheni ielekezwe 'gulioni' kwamba sasa mpangaji aliye pale hafai ameendeleza kupafanya gulio kwa ajili ya wakwapuaji badala ya kurudisha jina la awali la 'ikulu'.Mfano halisi ni EPA,MEREMETA,TANGOLD na hili la sasa
Hiyo petisheni ianze sasa huyo chekacheka aondoke.Tutibu chanzo cha maradhi sio matokeo yake
 
Jamani harakati zetu zimejibiwa na Sinclair ! Kuna watu wake humu wanampasha habari.

Sasa katoa nasaha mpya kwa wasikilizaji wake kuwa kila kilichokuwa kwenye ripoti ya kamati ya Rais, kilitangazwa hadharani na viongozi wa Tanzania kabla ya kamati kuwasilisha ripoti.

Ndiyo ni lazima amejua maana kama tulivyokubaliana katika forum hapa tulimtumia ile barua na kama tulikuwa waaminifu kutuma barua nyiingi sisi wa jf basi lazima ujumbe ulikuwa message sent na lazima umkelekete na lazima atapetape. Hakuna suala la kwamba kuna mtu anampeleke taarifa lakini kwa ile barua tu tayari mambo yako shingoni.
Mimi ningeshauri iandikwe barua nyingine na atumiwe swahiba wake Kikwete.
Na kama tulivyoandika kwa sinclair tumtumie pia barua nyingi JK kumuonyesha hasira yetu kwamba aliapa kutotoa siri za nchi na sasa anazitoa ovyo kwa wazungu. Hii itakomesha tabia hii.
Jamani sisi tusijali kwamba hizi kelele za mlango eti hazitamzuia mwenye nyumba kulala bali tujue kwamba kadri kelele za mlango zitakavyoendelea kuongezeka ndivyo mwenye nyumba atakavyozidi kupata shida na kukosa usingizi.
Iandikwe barua moja na wana jf tushirikiane kwa wingi na kuituma kwa wingi kwa huyu mwenye nyumba ya tanzania na tuone kama atalala.
Natoa hoja.
 
Jana hili jambo liliingizwa bungeni rasmi ila naona media yetu haikulipa attention ya kutosha .

Nitaweka hapa hicho kipande kilichowasilishwa ndani ya bunge jana kwa ajili ya kumtaka aombe radhi.
 
Sehemu ya Hotuba ya Dr.Slaa jana ,je?huyu jamaa atajitokeza tena?
Ni vema basi, Mheshimiwa Spika, Waziri Mkuu akaliarifu Bunge lako Tukufu Kamati ya Bomani imetumia shillingi ngapi na Wakaguzi wa EPA wamelipwa kiasi gani. Hizi ni fedha za Wananchi ni lazima zitolewe taarifa kwa chombo chao ambacho ni Bunge.

Mheshimiwa Spika, Kambi ya Upinzani imetishwa zaidi na Taarifa iliyosambaa katika Mtandao inayoonyesha kuwa Taarifa hizo za Kamati ya Rais, ambayo ni Siri kubwa kwa Wabunge na kwa Watanzania tayari inajulikana na watu wa nje wakiwemo wawekezaji. Kambi ya Upinzani imefadhaishwa sana na Taarifa aliyotoa CEO wa Kampuni ya Tanzanian Royalty Exploration Corporation bwana James E. Sinclair Mwenyekiti na CEO, ya Tarehe 30 May, 2008 yenye kichwa cha habari "changes To Tanzanian Mining Law Certain to benefit Mineral Exploration" na pia ya tarehe 11 June, 2008 yenye kichwa cha Habari " A special note to Shareholders". Taarifa ya Bwana Sinclair ya 30 May, 2008 inatamka wazi kuwa " I have had the privilege of reviewing the Committees Recommendations-along with comments from the Chamber of Mines &#8211;and have no serious issues with them&#8230;What is important to know, however is that the man who will make the final decision on the recommendation is the President not the Committee&#8230;" na "As one might expect, any legislation involving such an important segment &#8230;has generated heated debate. In my opinion, a small percentage of this rhetoric is instigated by special interest groups in the west whose commentary reads like &#8230; a standard play book".
Mhe Spika, Kambi ya Upinzani inadhani haya ni madharau makubwa kwa Watanzania, matusi kwa Wabunge, na pia inajenga picha kuwa Wabunge wanaopiga "kelele" kuhusu mali na rasilimali zao sio watu wanaoweza kufikiri wenyewe bali "wanatumika" &#8230;&#8230; Matusi haya hayawezi kuvumilika hivyo basi, tunamtaka Bwana Sinclair aombe Radhi kwa Bunge hili na watanzania wote kwa ujumla. Mheshimiwa Spika, kiburi hiki amekipata baada ya Bunge lako Tukufu kudharauliwa kwa kunyimwa Taarifa muhimu kama hii. Hivyo Kambi ya Upinzani inaitaka Serikali kuacha mara moja tabia ya kuthamini vyombo na watu wa nje.

Mheshimiwa Spika,
Kambi ya Upinzani inaitaka Serikali iwasilishe mara moja Bungeni katika kipindi hiki cha Bunge Taarifa ya Kamati ya Bomani, pamoja na Taarifa zote za Kamati za awali ili wabunge waweze kutimiza majukumu yao ya &#8216;Kuisimamia' Serikali. Mhe. Spika, tumekwisha kusema mara nyingi, Wabunge ni watu wazima, waliokula kiapo, wanajua kutunza siri kwa vile na wao ni wazalendo, hivyo suala la Siri haliwezi kuwepo kwa Wabunge vinginevyo Kiapo wanachokula hakina maana yeyote.
 
Dr. Slaa ni mdesaji mzuri sana wa JF. Sijui kwa nini wengine nao hawafanyi hivyo au hawajui kuwa JF kuna speaking points?
 
john cheyo, yule mbunge wa bariadi yuko bungeni anazungumza sasa hivi, anashangaa ripoti ya tume ya madini ya jaji makani kuwa kwenye web site ya mtu anayejiita rafiki wa kikwete. anataka achukuliwe hatua kama yule mauritius aliyefukuzwa na nyerere baada ya kusema ameiweka serikali mfukoni.....
 
naomba kusahihisha ni ripoti ya jaji bomani na wal siyo jaji makani
 
Back
Top Bottom