Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii (ishu ya madini) inaweza fanana na issue ya LLOLIONDO kama haitapatiwa ufumbuzi.
WANYAMA wamekuwa wakibebwa kupelekwa UARABUNI kutokana na mikataba isiyonufaisha TANZANIA. sasa wanyama ambao walikuwa wanapatikana TZ sasa wanapatikana UARABUNI . na hawaji kuangalia wanyama mbugani kwetu bali kwenda kuangalia wanyama uarabuni tena jangwani (zoo)
MADINI YETU JAMANI....... VIZAZI VIJAVYO VITASEMA NINI JUU YETU....? HUENDA HATA CHIF MANGUNGO KUNA WATU WALIMWAMBIA, NA SISI TUNAJUA KUSOMA NA KUANDIKA TUTAWAAMBIA NINI WAJUKUU WETU...? TUMEUZA WANYAMA NA SASA MADINI......!
MAPENDEKEZO YA RIPOTI YAZINGATIWE.....!
kikwete hana jeuri hiyo kama angekuwa nayo asingeipenyeza kwa swahiba wake Sinclair kwanza aipitie.
Zitto![]()
Zitto has no status.
JF Senior Expert Member
Join Date: Fri Mar 2007
Posts: 325
Rep Power: 22![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks: 42
Thanked 643 Times in 150 Posts
Credits: 28,429
Re: GEORGE KAHAMA na ANDY YOUNG wamegombana?![]()
........sasa hivi TZ kuna mnyukano mkubwa sana kwa ahadi za huyu kikwete kwa weupe hao alipokuja waziri mkuu wa canada haikuwa ziara nyepesi kama vyombo vyetu vilivyoripoti bali ni kubomolewa kwa ngome ya makampuni ya marekani na canada kuna kitu kimewagonganisha haya majitu, na hata hii inayoitwa kamati ya madini inatafutwa ili kumfunga paka kengele ili asilaumiwe kikwete bali mapendekezo ya kamati kikwete anayahitaji kujifichia ili afanye kinyume na yale aliyowaahidi waliomfadhili......
You cant be more right!!!!!!
Jambo jingine pia ninalotaka kuligusia hapa kwa viongozi ni kuhusu madini ya DHAHABU!Alitahadharisha kwamba, hadi sheria mpya itakapoanza, tayari yatakuwepo mabadiliko makubwa yatakayoliingizia taifa hasara kubwa hasa ikizingatiwa kuwa wazalishaji hao wanafanyakazi kwa saa 24 na bei ya madini inapanda kila kukicha.
Bw. Kaboyonga, alitoa mfano kwamba, madini ya almasi katika kipindi kifupi kilichopita kipimo cha wakia (once) moja ilikuwa dola za Marekani 250 na sasa imepanda hadi kufikia dola 900, hali inayoashiria ongezeko la bei kwa kasi kubwa.
Ni wishful thinking. Kikwete hawezi kumtema Sinclair. Sinclair ni Mmarekani anayeongoza kampuni ya Barrick au Mcanada lakini anaishi Marekani. Family ya Bush wana hisa katika kampuni ya Barrick kwa hiyo hakuna tofauti kama ni Canada au Marekani katika hili. Na August mwungwana anatinga White House kwa dinner rasmi ya Bush.
jmushi
Kile Kipindi Cha Kuwa Na Tanzania Mining Authority Kimefika, Andaa Cv Tu Najua Una Masters Ya Geology