James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani



Nashukuru hata wewe umeligundua hilo, ni watu kama hao ndio wanauchafua Uisilamu na wapo wengi sana.

"Mungu amuongoze"
 
Wanakwambia jua liliumbwa siku ya tatu, unajiuliza sasa hizo siku tatu zilipitaje bila kuwepo jua?

Mtu anayeamini kuna mtu aliugawanyisha mwezi vipande viwili na kuurudisha tena, unafikiri utanshawishi vipi kwenye bing bang?
 
Rudia tena kusoma post yangu uliyoiquote,,,then fanya research nakupa hata wiki nzima.
Ukishaelewa kuwa universe inaexpand faster than light urudi hapa.

Hapa tunaelimishana, hatubishani na wala sio ugomvi,,,kwahyo ukitaka unaacha lakini nimekupa mda ukajisomee (kama upo kujifunza) ,,ukipata maarifa urudi tena hapa
ukija na herufi zako kubwa za kubisha usilolijua nitaignore
lakini ukija umeshaelewa naomba ulijibu swali langu kwa upole...

Imewezekanaje hizo distant galaxies kusafiri faster than C????
 
Usinitoe katika nukta ya msingi jibu swali nililo kuuliza.

Hakuna Qur'aan iliyo ongelea The Big Bang,kingine msichokijua ni kuwa The Big Bang haelezei chanzo cha ulimwengu bali inajaribu kuelezea kutokea (Evolving).
Quran inaelezea chanzo cha Mungu? au evolving yake
 
Quran inaelezea chanzo cha Mungu? au evolving yake
Yes swali zuri ila Ngoja majibu yake ya vioja hapa kwanza atakuambia Mungu Hana chanzo ni mkuu na Alfa na Omega yeye alikuepo na takuepo Hana mwanzo Wala mwisho,
Wakati tunajua kabisa katika Universe law Kila kitu kina mwanzo!
Hapo ndio watu waamini Mungu hua wananiacha hoi!
 
Mimi mwenyewe nishawahi soma maelezo kama yako na wakatoa mfano kua ukipima kutaka kujua ni haraka ya kiasi gani, basi pale ambapo galaxies huonekana ku move kutoka kwetu kuelekea uelekeo wa mbali na sisi utagundua speed yake ni ya zaidi ya mwanga
 


Kweli hatubishani ila tunaelimishana tu na mimi kwenye ukweli nitakubali tu.

Ni hivi; kitu chochote chenye REST MASS haiwezekani kukimbia katika speed ya light, mfano chukua jiwe lenye kg 1, hilo jiwe REST MASS yake ndio hiyo 1kg, ukija kwenye photon yenyewe haina Mass (to be precise rest mass) ndio maana yenyewe inaweza kukimbia kwa speed of light "C", na light kama particles (Newton corpusclar theory ) ni stream of Photons zinazotembea katika speed ya "C", tukija kwenye hizo Galaxes etc zote hizo zina REST MASS, ni heavenly bodies having rest masses, sasa kimahesabu ya Kifizikia kamwe haziwezi kukimbia katika speed ya light labda useme zinakimbia katika speed close to the speed of light hapo sina shida, hebu jiulize kama zinakimbia katika speed ya light kwanini??--- kwanini zisimbie speed zaidi ya speed ya light??.. unless useme hizo galaxies ni electromagnetic waves hapo hakuna shida.

Nitakuletea formular inayo govern hicho ninachosema.
 
Mimi mwenyewe nishawahi soma maelezo kama yako na wakatoa mfano kua ukipima kutaka kujua ni haraka ya kiasi gani, basi pale ambapo galaxies huonekana ku move kutoka kwetu kuelekea uelekeo wa mbali na sisi utagundua speed yake ni ya zaidi ya mwanga
Yeah its mindblowing lakini ndio ukweli wenyewe...mimi nataka jamaa ajisomee agundue na sababu ya kwanini inakuwa hivyo huenda tutajifunza kitu hapa
 
Umechanganyikiwa
 
Hiyo formula nilishaiweka kitambo...ni E=mc2
Lakini you are missing the point
Inaonekana hata hujafuatilia kuhusu expansion ya universe kuwa faster than light na hutaki kufuatilia
 
jamaa apo juu kakuwekea mpaka picha
soma soma soma
 
Mzee baba electromagnetic wave move in speed of lite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…