Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Huyo jamaa ni wakumuepuka sana ikiwezekana mnipe hata address yake ili nisije niksjichanganya nikapita anga zake aanze kunikimbiza na mapanga kwa lengo la kupata thwawabu akimuua kafir
Watu kama hawa wakipata madaraka makubwa wanaweza kuifanya hii nchi kuwa ngumu sana na sio sehemu nzuri ya kuishi mtu mwenye kupenda uhuru
Yani kupitia maandishi tu unapata picha halisi ya roho mbaya aliyo nayo, ni mtu fulani asiyependa challenge anataka anachosema yeye kikubalike moja kwa moja na ndio maana unamuona akitoa maneno ya kuudhi
Nashukuru hata wewe umeligundua hilo, ni watu kama hao ndio wanauchafua Uisilamu na wapo wengi sana.
"Mungu amuongoze"