James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Vitabu vinavyomtaja Mungu kwa usahihi wake NI VIWILI TU.
biblia na Quran.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamu
 
Biblia inetaja Mungu Yesu na Mungu Yehova na Quran ina Mungu Allah

Mungu yesu na Mungu yehova ni mtu na babake kwa mujibu wa mafundisho ya kikristo na kwasababu umesema kua biblia imemtaja Mungu kiusahihi bila shaka utakuwa unakubaliana na hii

Mungu wa biblia alimtuma yesu ili aje awaokoe binadamu kwa kutolewa kafara, najua hauwezi kupinga hili kwakua ulishakubali kua Mungu huyu kaelezewa vizuri kwenye biblia

Mungu wa kwenye biblia hana pepo yenye mabikra 72 kwa mantiki hiyo huna sababu ya kupinga kwakua ulishasema kaelezewa kiusahihi

Na kubwa kuliko ni kwamba Mungu huyu kasema mtu yeyote hawezi kwenda kwake bila kupitia mtoto wake yesu ambaye ndio njia ya kweli na uzima, na moja ya vigezo vyake ili uweze kukidhi kwenda mbinguni ni pamoja kubatizwa. Na kwasababu umesema biblia imemuelezea kwa usahihi basi utakuabaliana na hayo yote
 
1

Screenshot_20220103-111915.jpg
 
2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamu
Screenshot_20220103-111927.jpg
 
3..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamu
Screenshot_20220103-111936.jpg
 
Umejuaje kwamba walisoma Quran na sio sumerian holy texts iliyoandikwa maelfu ya miaka kabla ya Quran kuwepo?

Ukweli wote unatoka kwa Allah na uongo wote unatoka kwa shetani, kwakuwa "Sumerian holy text" kwa maoni yako kimeandika Ukweli wa the big bang basi elimu hiyo imetoka kwa Allah na ni huyo huyo Allah baadayae liyeshushaa Qur'an na akaurejea huo ukweli wa the big bang hivyo huwezi kupinga ninaposema ukweli huu umetoka ndani ya Qur'an ukizingatia muda iliposhuka Qur'an na muda hao wanasayansi walipo theorise the big bang upo karibu mno kuliko muda wa hiyo "Sumerian text", juu ya yote Qur'an ndio the widest recited holy book in the world ever since it was first revealed to the holy prophet (saw), ndio maana ninasema possibility kubwa ni kwamba theory ya the big bang is derived from the Holy Qur'an.
 
namaanisha kwamba wewe si kitu.
Bali ni kiumbe tu.
Ndo maana umejikuta umezaliwa tu.hata wazazi wako walikuwa hawajui Kama watakuzaa
Maswali unayouliza ni irrelevant na ulicho hojiwa

Baba na mama kutoniambia kama wanataka kunizaa kunathibitisha nini?

Au lengo la hoja yako ilikua kuthibitisha nini? Kwamba kwasababu hawakuweza kufanya mawasiliano na mimi basi ifahamike jibu kua ni Mungu?
 
baba yako na Mama yako wangekuwa maiti wewe ungezaliwa?
Sikuwepo maana ili mimi niwepo lazima 23 chromosomes za baba yangu na za mama yangu ziunga ziwe 46 zianze instruction ya mitosis.
 
Unaweza kuniambia kabla ya wewe kukaa kwenye tumbo la mama yako ulikuwa kitu gani?
Kwa lengo la kutaka kuthibitisha nini?

Kwamba Mungu ndio anajua?

Miaka 50 iliyopita mlikua mkisema Allah pekee ndio anajua kua mtoto aliyepo kwenye uterus ya mama ni wakike au wakiume. Au ni mapacha au single

Ikaja ultralsound mkabadili msemo mkawa mnasema ni Allah pekee ndio anajua kama mtoto aliyetumboni kwa mama ni mtimilifu au sio

Ikaja amniocentesis na chorionic villus sampling. Saizi mshaanza kusema ni Allah tu ndio anajua huyo mtoto ataishi kwa muda gani
 
namaanisha kwamba wewe si kitu.
Bali ni kiumbe tu.
Ndo maana umejikuta umezaliwa tu.hata wazazi wako walikuwa hawajui Kama watakuzaa
Sasa sijaelewa cha ajabu ni nini hapo?

Au labda ulitaka kuweka hoja gani hapo kuonesha incredibly ya hicho kitu?
 
Mwenzio nilimpa hoja MOJA.
Mungu amesema amemuumba binadamu,huyo binadamu akaja kugundua Sayansi.
Nikamuuliza Kati ya Mungu ,Sayansi na binadamu Nani wa kwanza?
Kwa lengo la kutaka kuthibitisha nini?

Kwamba Mungu ndio anajua?

Miaka 50 iliyopita mlikua mkisema Allah pekee ndio anajua kua mtoto aliyepo kwenye uterus ya mama ni wakike au wakiume. Au ni mapacha au single

Ikaja ultralsound mkabadili msemo mkawa mnasema ni Allah pekee ndio anajua kama mtoto aliyetumboni kwa mama ni mtimilifu au sio

Ikaja amniocentesis na chorionic villus sampling. Saizi mshaanza kusema ni Allah tu ndio anajua huyo mtoto ataishi kwa muda gani
 
Namaanisha Mungu aliwapa wazazi wako uhai ambao ni Pumzi wakafanya mapenzi ukatoka wewe.bila Mungu kuwapa uhai wazazi wako wangekuwa maiti na Wala wewe usingetoka
hahahaha unataka maanisha nini...
 
Mungu hawezi kuwa zaidi ya MMOJA.

Back
Top Bottom