Biblia inetaja Mungu Yesu na Mungu Yehova na Quran ina Mungu Allah
Mungu yesu na Mungu yehova ni mtu na babake kwa mujibu wa mafundisho ya kikristo na kwasababu umesema kua biblia imemtaja Mungu kiusahihi bila shaka utakuwa unakubaliana na hii
Mungu wa biblia alimtuma yesu ili aje awaokoe binadamu kwa kutolewa kafara, najua hauwezi kupinga hili kwakua ulishakubali kua Mungu huyu kaelezewa vizuri kwenye biblia
Mungu wa kwenye biblia hana pepo yenye mabikra 72 kwa mantiki hiyo huna sababu ya kupinga kwakua ulishasema kaelezewa kiusahihi
Na kubwa kuliko ni kwamba Mungu huyu kasema mtu yeyote hawezi kwenda kwake bila kupitia mtoto wake yesu ambaye ndio njia ya kweli na uzima, na moja ya vigezo vyake ili uweze kukidhi kwenda mbinguni ni pamoja kubatizwa. Na kwasababu umesema biblia imemuelezea kwa usahihi basi utakuabaliana na hayo yote