[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamuVitabu vinavyomtaja Mungu kwa usahihi wake NI VIWILI TU.
biblia na Quran.
allah ni mtu anayependa biashara za utumwa kama yehova .. mimi siwezi amini wanachosema maana hawajui ukweli wowote
Biblia inetaja Mungu Yesu na Mungu Yehova na Quran ina Mungu AllahVitabu vinavyomtaja Mungu kwa usahihi wake NI VIWILI TU.
biblia na Quran.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini unasema hivyo nisahihi hv unajua dini ya misri ya kale ilidumu kwa miaka 5000 na zaidi habari za jehiva na allah ni habari za juzi tu katika historia ya mwanadamu
Umejuaje kwamba walisoma Quran na sio sumerian holy texts iliyoandikwa maelfu ya miaka kabla ya Quran kuwepo?
Maswali unayouliza ni irrelevant na ulicho hojiwa
Baba na mama kutoniambia kama wanataka kunizaa kunathibitisha nini?
Au lengo la hoja yako ilikua kuthibitisha nini? Kwamba kwasababu hawakuweza kufanya mawasiliano na mimi basi ifahamike jibu kua ni Mungu?
Sikuwepo maana ili mimi niwepo lazima 23 chromosomes za baba yangu na za mama yangu ziunga ziwe 46 zianze instruction ya mitosis.
Kwa lengo la kutaka kuthibitisha nini?Unaweza kuniambia kabla ya wewe kukaa kwenye tumbo la mama yako ulikuwa kitu gani?
Sasa sijaelewa cha ajabu ni nini hapo?namaanisha kwamba wewe si kitu.
Bali ni kiumbe tu.
Ndo maana umejikuta umezaliwa tu.hata wazazi wako walikuwa hawajui Kama watakuzaa
hahahaha unataka maanisha nini...baba yako na Mama yako wangekuwa maiti wewe ungezaliwa?
Angekuwa yatimababa yako na Mama yako wangekuwa maiti wewe ungezaliwa?
Kwa lengo la kutaka kuthibitisha nini?
Kwamba Mungu ndio anajua?
Miaka 50 iliyopita mlikua mkisema Allah pekee ndio anajua kua mtoto aliyepo kwenye uterus ya mama ni wakike au wakiume. Au ni mapacha au single
Ikaja ultralsound mkabadili msemo mkawa mnasema ni Allah pekee ndio anajua kama mtoto aliyetumboni kwa mama ni mtimilifu au sio
Ikaja amniocentesis na chorionic villus sampling. Saizi mshaanza kusema ni Allah tu ndio anajua huyo mtoto ataishi kwa muda gani
Sasa sijaelewa cha ajabu ni nini hapo?
Au labda ulitaka kuweka hoja gani hapo kuonesha incredibly ya hicho kitu?
hahahaha unataka maanisha nini...
Hili jibu halina maana
vitabu vilivyoandikwa na mwanadamuManeno ya Mungu utayapata kwenye vitabu VYAKE sio mpaka akwambie kwa mdomo
vitabu vilivyoandikwa na mwanadamu
Biblia inetaja Mungu Yesu na Mungu Yehova na Quran ina Mungu Allah
Mungu yesu na Mungu yehova ni mtu na babake kwa mujibu wa mafundisho ya kikristo na kwasababu umesema kua biblia imemtaja Mungu kiusahihi bila shaka utakuwa unakubaliana na hii
Mungu wa biblia alimtuma yesu ili aje awaokoe binadamu kwa kutolewa kafara, najua hauwezi kupinga hili kwakua ulishakubali kua Mungu huyu kaelezewa vizuri kwenye biblia
Mungu wa kwenye biblia hana pepo yenye mabikra 72 kwa mantiki hiyo huna sababu ya kupinga kwakua ulishasema kaelezewa kiusahihi
Na kubwa kuliko ni kwamba Mungu huyu kasema mtu yeyote hawezi kwenda kwake bila kupitia mtoto wake yesu ambaye ndio njia ya kweli na uzima, na moja ya vigezo vyake ili uweze kukidhi kwenda mbinguni ni pamoja kubatizwa. Na kwasababu umesema biblia imemuelezea kwa usahihi basi utakuabaliana na hayo yote