James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Hiyo naifahamu...okay nawewe kasome kama jamaa alivyokushauri kwanini galaxy za mbali zinatuacha kwa speed faster than C...hiyo ni fact (from observation)

Ni hivi; hapa hatuzungumzii relative motion between Galaxes, tunazungumzia motion of Galaxes in relation to centre of the big bang. The big bang ndio kitovu cha reference nacho kinahesabika kama a fixed point na speed ya any galaxy in relation to the point can never be equal to "C".

Ukizungumzia juu ya relative motion between galaxes hapo unaweza kuwa sawa kwani mfano, kama Galaxy A ina move kwa speed X m/s close to the speed of light "C" in relation to point of the big bang and reversely Galaxy B moves at the same speed of x m/s, relative to the same point, therefore the speed of Galaxy A relative to Galaxy B➡x- -x=2xm/s.

2x m/s which is greater than "C".

Mimi sikuongelea kitu hiki bali nilongelea speed ya galaxes heavenly bodies relative to the point of the big bang CAN NEVER be equal to "C".
 
Hiyo E=mc² imo katika hiyo Lorent factor ,
Haimo....kwani kwenye hiyo Lorentz factor Kuna energy kwenye hiyo equation?
Sema naona Ni two sides of the same coin for special relativity.
Hiyo Lorentz Inapima time dilation ya second law of special relativity.
E=mc2 inaonesha uhusiano wa matter and energy kwenye first law of special relativity
 
Hii nimeisoma advance.
Hii ni nusu ya picha
nawewe soma kwanini universe inaexpand faster than light ili uipate full picture

Nimeshakujibu, na tulikuwa hatujaelewana, relative speed between galaxes speed inaweza kuwa zaidi ya "C" lakini relative speed ya galaxes relative to the fixed big bang point CAN NEVER be equal to zero, na mimi nilikuwa nazungumzia juu ya The big bang.

Galaxy ambayo dunia yetu imo inaitwa "Milk way galaxy" .
 
Haimo....kwani kwenye hiyo Lorentz factor Kuna energy kwenye hiyo equation?
Sema naona Ni two sides of the same coin for special relativity.
Hiyo Lorentz Inapima time dilation ya second law of special relativity.
E=mc2 inaonesha uhusiano wa matter and energy kwenye first law of special relativity

Lorentz factor; f= 1/√(1-v²/c²).

Derivation ya hiyo formula ya Lorentz , E=mc² inatumika, katika substitution. , hiyo m inakufa, hiyo C² imetoka hapo kwenye mc², na v² ni velocity ya kitu kinacho move relative to a fixed point , mfano hizo galaxes, nk.
 
Ni hivi; hapa hatuzungumzii relative motion between Galaxes, tunazungumzia motion of Galaxes in relation to centre of the big bang. The big bang ndio kitovu cha reference nacho kinahesabika kama a fixed point na speed ya any galaxy in relation to the point can never be equal to "C".

Ukizungumzia juu ya relative motion between galaxes hapo unaweza kuwa sawa kwani mfano, kama Galaxy A ina move kwa speed X m/s close to the speed of light "C" in relation to point of the big bang and reversely Galaxy B moves at the same speed of x m/s, relative to the same point, therefore the speed of Galaxy A relative to Galaxy B➡x- -x=2xm/s.

2x m/s which is greater than "C".

Mimi sikuongelea kitu hiki bali nilongelea speed ya galaxes heavenly bodies relative to the point of the big bang CAN NEVER be equal to "C".
Dah!!
Hivi unajua Kuwa light haina relative velocity??
Light in constant speed regardless ya observers inference point.

Kwahyo mambo ya relative velocity wewe ndo umeyaleta hapa...
Na Hiyo sheria ya nothing travel faster than light naona umeongezea maneno yako hapo Kuwa "relative to the big bang point" kitu ambacho hakimake sence wakati light haina mambo ya relative velocity Na relative inference points
Inshort Mimi hata ukichukua inference yoyote hata hiyo centre ya universe uliyoikomalia bado Ngoma Iko pale pale Kuwa Kuna galaxies zinaondoka faster than light
Na hii Ni fact Wala sio theory kama Hizo theory Za relativity.

Sasa nataka uamini hiyo what then uende kufuatilia why yake ili uniletee majibu hapa.
 
Lorentz factor; f= 1/√(1-v²/c²).

Derivation ya hiyo formula ya Lorentz , E=mc² inatumika, katika substitution. , hiyo m inakufa, hiyo C² imetoka hapo kwenye mc², na v² ni velocity ya kitu kinacho move, mfano hizo galaxes, nk.
M imekufa Na E imeenda wapi?(joking) hii part im not serious
 
Dah!!
Hivi unajua Kuwa light haina relative velocity??
Light in constant speed regardless ya observers inference point.

Kwahyo mambo ya relative velocity wewe ndo umeyaleta hapa...
Na Hiyo sheria ya nothing travel faster than light naona umeongezea maneno yako hapo Kuwa "relative to the big bang point" kitu ambacho hakimake sence wakati light haina mambo ya relative velocity Na relative inference points
Inshort Mimi hata ukichukua inference yoyote hata hiyo centre ya universe uliyoikomalia bado Ngoma Iko pale pale Kuwa Kuna galaxies zinaondoka faster than light
Na hii Ni fact Wala sio theory kama Hizo theory Za relativity.

Sasa nataka uamini hiyo what then uende kufuatilia why yake ili uniletee majibu hapa.

Looo, dogo wewe bado sana, "C" ni speed of light in a vaccum, yaani chukua a light source mfano jua, kutoka kwenye jua hadi hapa duniani mwanga wa jua unatumia dk 4, maana yake ni hii C=d/4, d ni distance kutoka jua, ukiweka units, hapo utapata C in m/s,ambayo ndio speed ya light. Source ya light ni jua na dunia kama fixed reference point.

Katika relativity hapo ndipo hakuna fixed references nk,

Bado point ipo pale pale, according to the Lorentz factor hakujawa na kitu chenye REST MASS kikimbie speed ya light, hata hizo galaxes zilizoanzia kwenye big bang huo mlipuko kifizikia hauwezi kuzifanya zikimbie speed ya zaidi ya light kwasababu kitu chenye "rest mass" speed inapozidi ndipo uzito unaongezeka, lakini zinaweza kukimbia zaidi ya speed ya light in relative motion between the galaxes, mfano kutoka kwenye galaxy yetu tukiangalia galaxy zingine kama tunaweza basi macho yetu yataona hizo galaxy zingine zinakimbia speed kubwa kuliko speed ya light kwakuwa na sisi tuna move opposite at equal speed.

Kumbuka hakuna kitu CHENYE [REST MASS] kinaweza ku attain speed of light.--- kumbuka rest mass. Galaxes zote zina rest masses.
 
Hapa kwanza ulitakiwa kuhakiki ukweli kuhusu Big Bang sababu wapo wanao pinga juu ya kitu hiki,na ukihoji kiutu uzima utaona kuna shida mahali.

1. Kwanza ni nani wa kwanza kuelezea nadharia ya The Big Bang ?

2. Ilikuwaje akaja na wazo hilo ?

3. Je alihakikisha vipi ukweli wa tukio hilo ?

4. Je huoni ulazima wa uwepo wa mtu aliye shuhudia hilo kama angeelezea tukio hilo ?

Watu kupinga tukio la bingbang theory siyo kitu cha kushangaza mkuu. Kwa sababu watu tunatofautiana uwelewa na uwezo wa kufikiria.
Kwenye bingbang theory kuna shida sehemu nyingi sana ndo maana wasomi wa astronomy na cosmology wameamua kuwekeza fedha kwa ajili ya JWST kwenda kutusaidia baadhi ya majibu. Tofauti ya sayansi na dini ni katika kujikosoa. Sayansi huwa inajikosoa yenyewe na haina aibu katika kuonekana mjinga.

Umeuliza maswali tofautitofauti hapo katika post ako.
Majibu yake yanapatikana humuhumu JF
Kanungila Karim kama upo mkuu changia chochote katika huu uzi tafadhali 🙏
 
Ajabu wewe wa karne hii hushangai kuhusu nadharia ya The Big Bang ?

Wewe wa leo hii hushangai ya kwamba kifaa kinawezaje kujua mambk yaliyopita kama chanzo cha ulimwengu ? Mimi ndipo huwa nawashangaa sana Wanasayansi hasa wa anga walivyo kuwa wajinga na wazandiki kiasi hiki.
Mkuu ukituita wajinga upo sahihi kupitia ujinga wetu ndo umetusaidia kuweza kujifunza zaidi na kutofautiana na viumbe wengine.

Ukiwa mvivu wa ku research information utaona ajabu sana look back to time.

Astronomy and cosmology ni branch of science ambazo katika mfumo wako wa elimu hazipo katika curriculum kwa hiyo sisi ni wajinga katika hiyo field ya elimu ya anga za mbali na chanzo cha ulimwengu huu (cosmology).

Lakini kwa vile ni wajinga na bahati nzuri tumezaliwa kipindi ambacho ni rahisi ku access information so imekuwa rahisi kuweza kutoa ujinga tulioko nao kupitia ICT era.

Umekuja kwa mhemko ukaanza ku comment before uja review hizo pages zilizopita 6. Humo tumeeleza ki unagaunaga namna JWST inavyofanya kazi. Bahati nzuri wadau wa hapa Jamii intelligence ni watu wenye shauku ya kujifunza so before hii thread tayari walikuwa na taarifa nyingi kuliko hata mleta thread.
 
Mleta mada, shukrani sana kwa kileta Uzi huu.Mimi pia nina interest sana na masuala ya universe.
Kwa wale wageni wa mambo haya ningeshauri wampitie Carl Sagan moja ya muandishi mzuri sana katika kuelezea mambo haya
Asante mkuu huyu Carl Sagan tutampitia pia tujifunze kutoka kwake.
 
Tunashukuru kwa mada hii na mleta mada pia.

Kama ingewezekana ingekuwa mada maalumu kwa update za James Webb telescope tokea ilipo anza safari ilipo na itakapokamilisha safari yake pamoja na kuanza kwake kufanya kazi na kazi zenyewe.

Haya ni matokeo ya kukua kwa fikra za kibinadamu na jinsi binadamu asivyoweza kutulia mpaka apate kujua chanzo chake nini na mazingira anayokaa chanzo chake ninini.

Hii itapelekea wakati fulani binadamu atapata kujua yupo Mungu lakini nje ya fikra na mitazamo ya kidini.

Nilikua natamani pia nchi zetu hizi za kiafrika nazo zisiwe nyuma lakini umaskini bado umetushika hatujui tutakula nini na tutalala wapi kwa hio hatuwezi kujishughulisha na mambo kama hayo kwa sasa.

Lakini tungeweza kujishughulisha kwa namna ya kufuatilia wenzetu wanafanya nini ili kinachotokea na kinachoendelea tuweze kujijua walao tusiwe nyuma sana haswa sisi vijana, kwa sababu ya ukuwaji wa teknolojia ya mawasiliano ni kitu kinachowezekana kabisa.

Badala yake tumekuwa nyuma mno, kwa mfano wakati wa urushaji wa darubini siku ile ya Christmas wengi wetu tulikuwa tukitafuta kwa namna yoyote kupata video ya dada aliyekuwa anatumia chupa ya soda vibaya! Hii ilipelekea watu wengi waliokua na uwezo wa kulifamu tukio hili kuwa wachache.
Kweli mkuu naifanya iwe official thread for update
 
Jinsi ya kujua sayari Ina uwezekano wa viumbe: Hii telescope Ina teknolojia ya kutambua uwepo wa oxygen kutoka Sayari zilizo Hadi umbali wa 16 light years.... oxygen molecules zikicollide zinaemitt some energy ambayo hii satellite itadetect.
Wrong[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 16 light years ni karibu sana mzee hata telescope ndani ya dunia zinaona mbali. Wanajuaje kuwa sayari ina element of life? Ni pale wanapotumia technology ya sterescope uki zoom light utakuta some black patches hizo patches zinacorrespond na light absorbed by atoms of an element.
 
Mungu ni zaidi ya Sayansi na ndo ametupa hyo elimu.
bila Mungu hakuna Sayansi
Umekula maharage ya wapi wewe. Sayansi is an open question wakati habari za mungu ni majibu ya kila kitu bila ushahidi. Sayansi ilishampokonya mungu mamlaka hapa duniani kitambo sana ni vile watu wengi bado mpo kwenye minyororo ya dini.
 
Mungu na dini ni vitu viwli tofauti.
Sayansi haiwezi kuthibitisha kama Mungu hayupo kwa sababu concept ya Mungu ni beyond the universe, hyperspace and everythingggg.
Nikuulize mungu gani unayemuongelea
 
Ajabu wewe wa karne hii hushangai kuhusu nadharia ya The Big Bang ?

Wewe wa leo hii hushangai ya kwamba kifaa kinawezaje kujua mambk yaliyopita kama chanzo cha ulimwengu ? Mimi ndipo huwa nawashangaa sana Wanasayansi hasa wa anga walivyo kuwa wajinga na wazandiki kiasi hiki.
Mzee baba sayansi ya light imekupiga chenga , vitu ulivyotaja vina ufafanuzi wake
 
Ukristo gani ulitangulia kabla ya Uislamu ?

Uislamu upo tangu zama za nabii Adamu na mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo adam aliyekuwepo miaka 6000 iliyopita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu walianza kulima miaka 10000 iliyopita
 
Kati ya Mungu na Sayansi Nani wa kwanza?
Umekula maharage ya wapi wewe. Sayansi is an open question wakati habari za mungu ni majibu ya kila kitu bila ushahidi. Sayansi ilishampokonya mungu mamlaka hapa duniani kitambo sana ni vile watu wengi bado mpo kwenye minyororo ya dini.
 
Kati ya Mungu na Sayansi Nani wa kwanza?
Sayansi zamani ilikua inaitwa philosophy of nature kazi yake ilikua unaelezea mambo ya ulimwengu kutumia njia za kisayansi, then kuna technolojia hii ilikuwepo kabla hata ya binadamu kuanza kuwaza mambo ya mungu. Mfano baada ya kugundua moto ndio mambo mengi yakaanza tokea kuhusu mungu
 
Back
Top Bottom