James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Sasa Mungu ndo anasema YEYE KAUMBA DUNIA .
hapo unasemaje,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema wapi, kamwambia nani na ni mungu yupi maana hizo idea za mungu zipo nyingi. Je tunajuaje mungu wako ni wa kweli kudhidi miungu mingine
 
Naam siyo Waislamu hizo ni dini zinazo jinasibisha na Uislamu.

Sababu za kurejea Tafsiri ili usichukue au kuelewa ndivyo sivyo,ndiyo maana Mtume ameishi maisha yake yote akiifasiri Qur'aan. Na kila alichokisema kimenukuliwa.

Swadaktaa lazima nirejee kwenye marejeo,ili kuepuka kukosea katika maana na kufanyia kazi tamko husika.
Huko juu umenitoa dosari kwenye bing bang ukidai kwamba ni kwasababu imetoakana na mawazo ya mtu, naona hapa unajisahau na unarudia kosa lile lile kwa kuirejea Quran ambayo imetafsiriwa kwa mawazo ya muhammad
 
Hivi huwa unasoma ninachokoandika ?

Haya ndiyo matatizo ya kukwepa maswali ninayo kuuliza,Big Bang yenyeww inaonyesha hilo. Kaisome tena.

Ndiyo maana nataka uthibitishe ukweli wa hiyo nadharia unarukaruka na kupoteza muda.

Hili swali lingine sasa,onyesha ukweli wa Big Bang Theory.

Kijama inakiwaje unakimbia maswali na kupoteza muda ?
Mimi nimeisoma na ndio maana nakuuliza hiyo bing bang unayoizungumzia wewe haielezei mwanzo wa ulimwengu umeitolea wapi?

Au kwa kunjsaidia unaweza niwekea hata definition ya bing bang hapa nikaisoma ili nijiridhishe na madai yako
 
Mimi sina uwezo wa kulitafsiri tamko Uislamu zaidi ya kuchukua nukuu toka vitabuni. Hapa ndipo ilipo hoja yangu.

Ukijifunza lugha,utakutana na namna zinazokubaliwa zakufasiri maneno,zipo maana za neno kilugha na kiistilahi na kuna maana ya maneno kulingana na munasaba. Sasa hi hoja huwezi kuikwepa kielimu lakini,ila kama ni kiubishi ni rahisi sana.
Kwa hoja gani unaweza kuonesha uislamu ulikuwepo kabla ya ukristo?
 
Wazungu walisoma Qur'an ndipo wakajifanya wao ndio wamegundua kitu ambacho tayari kiliandikwa 1400 ago.
Umejuaje kwamba walisoma Quran na sio sumerian holy texts iliyoandikwa maelfu ya miaka kabla ya Quran kuwepo?
 
Kwa hyo ulitaka Mungu aweke maspika mbinguni akwambie yeye ndo kakuumba?
baba yako na Mama yako walipokuwa wanafanya mapenzi utoke wewe walikwambia wanataka kukuzaa?
Mungu kasena au vitabu ndio vimeandika kwamba Mungu kasema?
 
Wakati baba yako na Mama yako wanafanya mapenzi utoke wewe walikwambia wanataka kukuzaa?
Kasema wapi, kamwambia nani na ni mungu yupi maana hizo idea za mungu zipo nyingi. Je tunajuaje mungu wako ni wa kweli kudhidi miungu mingine
 
Wakati baba yako na Mama yako wanafanya mapenzi utoke wewe walikwambia wanataka kukuzaa?
hawajuniambia , nimetokana kwa chance .. mimi hujajibu swaki langu mungu yupi sasa alisema hayo maana duniani hapa kuna miungu wengi . Kwanini utuaninishe wako ndio sahihi na wengine sio sahihi. Na mimi kukuuliza mungu alisema wapi maana nataka jua lini alitamka hayo kama ametuumba . Maana mimi mama yangu ameniambia amenizaa na ushahidi upo maana nafanana na wazazi wangu
 
Hawajakwambia kwa sababu yupo aliyefanya hivyo.ndo maana nimekupa hyo Aya ya 40.
Mungu anasema yeye ndo katuumba,yeye ndo anatupa riziki,yeye ndo anafanya watu wafe na yeye ndio atakeye wafufua.
Unakwama wapi?

Screenshot_20220103-092451.jpg
 
Kwa hyo ulitaka Mungu aweke maspika mbinguni akwambie yeye ndo kakuumba?
baba yako na Mama yako walipokuwa wanafanya mapenzi utoke wewe walikwambia wanataka kukuzaa?
Hili jibu halina maana
 
Hawajakwambia kwa sababu yupo aliyefanya hivyo.ndo maana nimekupa hyo Aya ya 40.
Mungu anasema yeye ndo katuumba,yeye ndo anatupa riziki,yeye ndo anafanya watu wafe na yeye ndio atakeye wafufua.
Unakwama wapi?View attachment 2066865
siwezi kuamini hilo jambo maana mimi nimezaliwa na wazee wangu sijaumbwa. Mimi na wewe genetically tupo identical 99.9% sisi na sokwe genetically tupo identical 98.4% . So it is natural selection iliyonifanya nitokee kuwa hivi nasio power ya ajabu iliyojificha mbingu ya saba na ukiulizwa hiyo mbingu ipo wapi huwezi taja
 
Kwa hyo ulitaka Mungu aweke maspika mbinguni akwambie yeye ndo kakuumba?
baba yako na Mama yako walipokuwa wanafanya mapenzi utoke wewe walikwambia wanataka kukuzaa?
Nachokimaanisha hapa ni kwamba kuna maelfu ya dini ambayo yana madai kama dini yako kua Mungu wao naye kasema kupitia vitabu vyao

Kwa hiyo utakubali kuq vitabu hivyo ni neno la Mungu wa kweli?
 
Unaweza kuniambia kabla ya wewe kukaa kwenye tumbo la mama yako ulikuwa kitu gani?
siwezi kuamini hilo jambo maana mimi nimezaliwa na wazee wangu sijaumbwa. Mimi na wewe genetically tupo identical 99.9% sisi na sokwe genetically tupo identical 98.4% . So it is natural selection iliyonifanya nitokee kuwa hivi nasio power ya ajabu iliyojificha mbingu ya saba na ukiulizwa hiyo mbingu ipo wapi huwezi taja
 
Vitabu vinavyomtaja Mungu kwa usahihi wake NI VIWILI TU.
biblia na Quran.
Nachokimaanisha hapa ni kwamba kuna maelfu ya dini ambayo yana madai kama dini yako kua Mungu wao naye kasema kupitia vitabu vyao

Kwa hiyo utakubali kuq vitabu hivyo ni neno la Mungu wa kweli?
 
Unaweza kuniambia kabla ya wewe kukaa kwenye tumbo la mama yako ulikuwa kitu gani?
Sikuwepo maana ili mimi niwepo lazima 23 chromosomes za baba yangu na za mama yangu ziunga ziwe 46 zianze instruction ya mitosis.
 
Wakati baba yako na Mama yako wanafanya mapenzi utoke wewe walikwambia wanataka kukuzaa?
Maswali unayouliza ni irrelevant na ulicho hojiwa

Baba na mama kutoniambia kama wanataka kunizaa kunathibitisha nini?

Au lengo la hoja yako ilikua kuthibitisha nini? Kwamba kwasababu hawakuweza kufanya mawasiliano na mimi basi ifahamike jibu kua ni Mungu?
 
Back
Top Bottom