Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Yah, quran ina kila kitu unachotaka iwe nacho.. Cha muhimu ujue tu kubadili maana za kiarabu ziedane na unachotaka wewe
Maana za kiarabu ziendane na anachotaka mtu??!!, hiyo sio kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah, quran ina kila kitu unachotaka iwe nacho.. Cha muhimu ujue tu kubadili maana za kiarabu ziedane na unachotaka wewe
Angalia hii clip mashehe wanabishana Allah yupo wapi,Maana za kiarabu ziendane na anachotaka mtu??!!, hiyo sio kweli.
Angalia hii clip mashehe wanabishana Allah yupo wapi,
keep in mind wote wanatumia quran ileile ila wanafikia conclusions tofauti,
neno moja hilo hilo la kiarabu ila kila shehe lina maana tofauti kwake
MUnachosema ni sahihi na ndio maana Allah akasema; Enyi wanadamu bila shaka watakufikieni mitume kutoka miongoni mwenu na watakuelezeni aya zangu ----, (Qur'an 7:36), hii maana yake ni kwamba jukumu la kueleza maana za ndani za aya za Qur'an ni la mitume watakaokuja baada ya mtume mtukufu Muhammad (saw) sio jukumu la masheikh ambao kila siku hupinzana wao kwa wao katika taawili za aya za Qur'an matokeo yake waumini wanaowafuata wasijue ukweli upo wapi na hivyo kubaki na imani zenye mashaka, hivyo aya za Qur'an huwezi kuzipeleka jinsi akili yako inavyotaka isipokuwa zinatakiwa zifuatwe jinsi Allah anavyotaka na ndio maana mtume lazima aje kueleza, kusoma na kufundisha Qur'an.
Anyway naomba nimsaidie kujaribu kukujibu.
Black holes huwa hazipitishi mwanga wa aina yoyote isipokuwa zinaufyonza tu na ndiyo maana huwa zinaonekana kuwa ziko black. Infra red (IR) ni sehemu ya mwanga kwenye LIGHT SPECRTUM, na ultra violet (UV) nayo pia ni sehemu nyingine tena kwenye LIGHT SPECRTUM. Kwa hiyo UV na IR zote ni mojawapo ya sehemu nyingi zinazounda LIGHT SPECRTUM moja, na hivyo zinaunda mwanga kwa ujumla wake. Kwa hiyo haijalishi ni kwenye sehemu gani ya LIGHT SPECTRUM chombo cha kitaalamu kina-operate, hakuna namna ambayo chombo hicho kinaweza kupiga picha au kuona kikiwa ndani ya black hole
mike2k
Time move fast... For example if you move at speed of light in space, time is constant [emoji23][emoji23]How?
Hahaha haha we mzee umelewaJames webb nasikia imepigwa na vimondo, damage ni kubwa na ni unexpected.
Je? hivi vyombo vyakwenda anga za juu vinasafiri mamilioni ya maili engine zake uwa zinaendeshwa na nini na ambayo ahiishi safari yote,make sijawai sikia kwamba chombo kimekwama sababu ya nyenzo yakuendesha engine imeishaChombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE [emoji437] kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.
James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua zaidi ya miaka 10 kukamilika.
James Web Space telescope (JWST) inaenda kufanya nini?
Mission objectives
JWST bila ubishi ndo most advanced machine ever built by human being.
- JWST inaenda kuisaidia NASA kufanya uchunguzi wa chanzo cha ulimwengu huu.
- WST inaenda kusaidia astronomy na cosmology kuweza kuona galaxy za mwanzo baada ya tukio la bing bang theory.
- JWST inaenda kusaidia pia kuweza kujifunza namna sayari,galaxy na nyota za mbali zilivyo evolve overtime.
- JWST inaenda kutafuta uwepo wa viumbe vingine na uhai katika planets zilizoko katika nyota nyingine.
- JWST inaenda kuchungua eneo muhimu sana katika galaxy yetu linaitwa HABITABLE ZONE kuangalia uwepo wa sayari nyingine zinazo support uhai kama dunia yetu.
Hebu pia hizi fact hapa
1.JWST inaenda kusaidia wanasayansi kuangalia nyuma ya muda.
With the new telescope, astronomers are hoping to study the very first stars and galaxies in the universe to understand its secrets.
Jwst ni some kind of time machine.inaturudisha nyuma by vision.
2. A better understanding of our universe's history.
All images taken by Hubble reflect not only galactic systems but also a collection of the universe's history. With Hubble, scientists were able to peek into galaxies that formed 400 million years after the Big Bang.
James Webb Telescope may be able to bridge that gap and show images from 250 million years after the Big Bang, taking us closer to the starting point of our universe.
Besides just seeing galaxies, the new telescope will bring more detail to all images including spiral arms, more light, and better structure.
JWST itatupa picha ya galaxies zilizokuwa formed miaka 250 baada ya tukio la bingbang theory.
3. Infrared lighting
Hubble space telescope ilikuwa inachukua picha kupitia ultra violet (visible light)
lakini JWST iko advanced zaidi inatumia Infrared lighting. Hapa itapata picha na details za ziada zaidi katika picha husika mfano kama ita view exoplanet basi itatuletea details za ziada kama uwepo wa VIUMBE hai,maji,gravity etc.
With infrared imaging, astronomers may be able to peek into extremely old galaxies owing to a process called "redshifting" wherein light is stretched as it appears and disappears, leaving a red trail behind. With infrared, Webb will be able to capture extremely old galaxies that are currently being pushed farther away from Earth and becoming redder. That's how you look back in time!
References
![]()
Quick Facts
Quickly find answers to commonly asked questions about the Webb Telescope (JWST) mission, or submit a question we may have missed on site.webbtelescope.org
![]()
James Webb Space Telescope - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Nitafurahi sana kama kuna mwenye swali atapost hapo chini nitamjibu kadiri ya taarifa nilizoko nazo.
ni kweliHahaha haha we mzee umelewa
Nuclear batteryJe? hivi vyombo vyakwenda anga za juu vinasafiri mamilioni ya maili engine zake uwa zinaendeshwa na nini na ambayo ahiishi safari yote,make sijawai sikia kwamba chombo kimekwama sababu ya nyenzo yakuendesha engine imeisha
Mtume wa kutufundisha kwa sasa duniani ni nani?Unachosema ni sahihi na ndio maana Allah akasema; Enyi wanadamu bila shaka watakufikieni mitume kutoka miongoni mwenu na watakuelezeni aya zangu ----, (Qur'an 7:36), hii maana yake ni kwamba jukumu la kueleza maana za ndani za aya za Qur'an ni la mitume watakaokuja baada ya mtume mtukufu Muhammad (saw) sio jukumu la masheikh ambao kila siku hupinzana wao kwa wao katika taawili za aya za Qur'an matokeo yake waumini wanaowafuata wasijue ukweli upo wapi na hivyo kubaki na imani zenye mashaka, hivyo aya za Qur'an huwezi kuzipeleka jinsi akili yako inavyotaka isipokuwa zinatakiwa zifuatwe jinsi Allah anavyotaka na ndio maana mtume lazima aje kueleza, kusoma na kufundisha Qur'an.
??????!!!!!!!!!!!Time move fast... For example if you move at speed of light in space, time is constant [emoji23][emoji23]
Mtume wa kutufundisha kwa sasa duniani ni nani?
Umesema tusiwafuate mashehe wanapotosha tuwafuate mitume, nimekuuliza kwa sasa mtume gani tumfuate unaanza kumtambulisha marehemu mtume Ghulam ambae hawezi kutusaidia chochote kuhusu Quran maana ashaoza kaburini......Au Hao makalifa ni mitume?? wana tofauti gani na mashehe wa kisunni??Ni Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) muanzilishi mtukufu wa jumuiya ya Waisilamu wa Ahmadiyya, yeye alizaliwa mwaka 1835 na kufariki mwaka 1908, alipofariki aliacha ukhalifa, hadi leo Jumuiyya ya Waisilamu wa Ahmadiyya inaongozwa na ukhalifa, khalifa aliyepo sasa ni Hadhrat Mirza Masroor Ahmad (atba) ni khalifa wa 5 kuongoza jumuiya ya Waahmadiyya, hawa makhalifa walichaguliwa na na waaminio wenyewe na wanafuata na kufundisha Mafundisho sahihi ya Uisilamu yalivyofundishwa na Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) ambaye naye alifundisha Uisilamu uleule alioufundisha Mtukufu kipenzi chetu mtume Muhamad (saw), kifupi ni kwamba katika jumuiya ya waisilammu wa Ahmadiyya ndimo Uisilamu wa kweli unafundishwa humo, uisilamu aliouacha mtukufu mtume wetu na kipenzi chetu Mtume Muhammad (saw).
hii maana yake ni kwamba jukumu la kueleza maana za ndani za aya za Qur'an ni la mitume watakaokuja baada ya mtume mtukufu Muhammad (saw) sio jukumu la masheikh ambao kila siku hupinzana wao kwa wao katika taawili za aya za Qur'an
Umesema tusiwafuate mashehe wanapotosha tuwafuate mitume, nimekuuliza kwa sasa mtume gani tumfuate unaanza kumtambulisha marehemu mtume Ghulam ambae hawezi kutusaidia chochote kuhusu Quran maana ashaoza kaburini......Au Hao makalifa ni mitume?? wana tofauti gani na mashehe wa kisunni??
Mimi bado nipo nawewe mpaka umtaje mtume wa sasa kama uliposema hapa chini
Hata Kama ni Allah ndiyo amesema ni mitume tu ndiyo watakaofundisha Quran....Je kwasasa ni mtume yupi aliyepo duniani wa kutufundisha Quran?Kwani ni mimi ndiye niliyesema kwamba mitume watakuja kusoma/kutoa maelezo ya Qur'an ??!!,ni Allah mwenyewe ndiye aliyesema na Hadhrat Ahmad (as) katoa maelezo mengi kuhusu aya za Qur'an na Hadithi za mtume Muhammad (saw) ambapo ameandika vitabu zaidi ya 80 kuhusu masuala ya dini ya kiisilamu na Makhalifa wake wanafanya jambo hilo hilo na hiyo ndio maana ya aya (7:35), kwa maneno mengine, ili kupata taawili sahihi za masuala ya dini ya kiisilamu ni ndani ya jumuiya ya Waisilamu wa Ahmadiyya ndipo mtu atapata mafundisho sahihi ya Uisilamu nje ya hapo utakuta masheikh wakiradiana na kila mmoja akifutu vile akili yake inavyompeleka na ndio maana huishi kuona magomvi na misuguano miongoni mwa waisilamu ikimalizika ukichanganya na makundi ndani ya waisilamu hali ndio mbaya zaidi.
Hata Kama ni Allah ndiyo amesema ni mitume tu ndiyo watakaofundisha Quran....Je kwasasa ni mtume yupi aliyepo duniani wa kutufundisha Quran?