Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani huyu?

Kwamba haina hadhi ya kutajwa kwa jina; itajwe kwa ishara? Tuendelee kufaidi uhuru wa maoni uliotolewa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani hiyo ni haki yetu
Lakini Bado Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Haina hadhi ya kutajwa Kwa jina.

Sio sahihi kuipa hadhi hiyo.
 
Mh. Rais Samia ,

Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza.

Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu.

Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo.

Sasa Mh. Rais napata ukakasi kidogo kwa kauli zako , Kila unapotusalimia,

Huyu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unayemtaja ni nani hasa,

Maana ninavyofahamu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayotokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Sasa hakuna mtu,kitu,watu, vitu kwa jina hilo.

Ingawa naelewa kwamba unataka usionekane kuwa unapendelea Dini yeyote,

Serikali Haina dini, lakini sisi raia tuna dini zetu, na hatumfahamu huyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mh. Rais, salami hii, inatufikirisha mno sisi wengi,

Unaweza usiambiwe ILA Kuna haja ya kuachana nayo.

Wasalaaam,

Statesman,

Dar es Salaam.
Sijaona tatizo kwa huo Msemo wa Mheshimiwa Rais na ifike pahala sasa Watanzania ( Sisi ) tupunguze 'Nongwa' zetu na tujikite zaidi kuwa na Mawazo ya Kujenga nchi kuliko 'Kushadadia' vitu vidogo vidogo ( very minor ) na visivyo na Tija wala Mantiki. Tubadilikeni!!
 
Kuna watu wameshajiaminisha kuwa nchi hii kuna dini mbili pekee.

Kwasababu dini nyingine ni watu wakimya na hawapendi migogoro, wanawachukulia kama hawapo.
Shida ndio hapo. Mama sio mnafiki kwa 100%. Anafanya kile moyo wake unaamini ni haki na kweli. Mambo ya salamu za kidini ni unafiki na kujipendekeza. Mimi sio muislamu na siamini kwenye uislamu, ninaposalimia kwa salamu ya kiislamu indirectly naufundisha uislamu. Mimi sio mkiristu na siamini kwenye ukiristu ninaposalimia kwa salamu ya kikiristu indirectly naufundisha ukiristu. So mama ameamua kuachana na unafiki wa kufurahisha watu na kujipendekeza. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania wote, haimbagui mtanzania yoyote hivyo ni jina linalotuunganisha wote na wala mama hamaainishi kama ni "ni mtu au mungu". Wenye akili pekee ndio watamwelewa mama.
 
Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,

Hata kwenye kamusi ya kiswahili hakuna salamu ya namna hiyo.
 
Sijaona tatizo kwa huo Msemo wa Mheshimiwa Rais na ifike pahala sasa Watanzania ( Sisi ) tupunguze 'Nongwa' zetu na tujikite zaidi kuwa na Mawazo ya Kujenga nchi kuliko 'Kushadadia' vitu vidogo vidogo ( very minor ) na visivyo na Tija wala Mantiki. Tubadilikeni!!
Ni tatizo kwa wengine na sio lazima Kila unachokifikiri wewe kuwa sawa basi iwe Kwa kola mtu,

Lazima pia ujifunze kukubali fikra za wengine,

Nchi huru hii.

Na kwa taarifa yako tu , thread hii inawakilisha mawazo ya wengi tu, ingawa wengine hawataki kusema.

Ukweli unapotakiwa kusemwa usemwe.
 
Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,

Hata kwenye kamusi ya kiswahili hakuna salamu ya namna hiyo.
Hivi wewe una elimu gani? Tusiwe tunapoteza kuchangia mada hapa kumbe tunahangaika na mtu mwenye upeo wa chini. Kwani maneno ya kwenye kamusi yalipatikanaje? Kwani maneno kwenye lugha yanapatikanaje? Lugha inakuwa (develop/evolve) jomba. Kama hii salamu haipo kwenye kamusi ndio tayari imeshazaliwa sasa na itaingizwa kwenye kamusi kama ilivyo kwa maneno mengine yaliyozaliwa na kuingizwa kwenye kamusi.
 
Mimi sina tatizo na salamu. Kwanza kwenye maisha yangu nimeshaingia migogoro na watu kibao kutokana na kutoyapa kipaumbele sana mambo ya salamu.
Kama hayana kipaumbele kwako Basi Wacha wengine tujadili.
 
Hivi wewe una elimu gani? Tusiwe tunapoteza kuchangia mada hapa kumbe tunahangaika na mtu mwenye upeo wa chini. Kwani maneno ya kwenye kamusi yalipatikanaje? Kwani maneno kwenye lugha yanapatikanaje? Lugha inakuwa (develop/evolve) jomba. Kama hii salamu haipo kwenye kamusi ndio tayari imeshazaliwa sasa na itaingizwa kwenye kamusi kama ilivyo kwa maneno mengine yaliyozaliwa na kuingizwa kwenye kamusi.
Una upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo....

Unapoteza muda wako bure tu kuspam hii thread you can't change anything,

Kilichoandikwa hapa kimeshaandikwa , deal with it. Kwaheri.
 
Mh. Rais Samia ,

Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza.

Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu.

Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo.

Sasa Mh. Rais napata ukakasi kidogo kwa kauli zako , Kila unapotusalimia,

Huyu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unayemtaja ni nani hasa,

Maana ninavyofahamu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayotokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Sasa hakuna mtu,kitu,watu, vitu kwa jina hilo.

Ingawa naelewa kwamba unataka usionekane kuwa unapendelea Dini yeyote,

Lakini Bado Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Haina hadhi ya kutajwa Kwa jina.

Sio sahihi kuipa hadhi hiyo.

Serikali Haina dini, lakini sisi raia tuna dini zetu, na hatumfahamu huyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mh. Rais, salami hii, inatufikirisha mno sisi wengi,

Unaweza usiambiwe ILA Kuna haja ya kuachana nayo.

Wasalaaam,

Statesman,

Dar es Salaam.
Hebu pitia tena wimbo huu:
Tanzania, Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote...
Jiulize ni nani huyu unayempenda.
Sasa rejea hii salam. Nawasalimia kwa jina la jamhuri....
Kuna tofauti gani kimsingi.
Hapa ni kuiweka nchi mbele kama ndio focus kwa kila jambo tunalofanya (kazi) ili kuleta ustawi wa nchi, watu wote.
JMT ni nchi, ni watu waishio humo na ndiyo tunayoijenga.
Tuangalie nia ya salam na sio tafsiri.
Kama tukichambua "hapa kazi tu" tungekuta makosa mfano, hata vibaka, changudoa, majambazi wanaweza kusema hapa kazi tu.
So, tuangalie nia na sio tafsiri za kukomoa!
 
“Wakubwa shikamooni, madogo wenzangu habari zenu?”

Kikubwa kwenye salamu za jumla ni kuanzisha mawasiliano.

Hayo ya kutakiana heri nani ajuaye?

Waibrania wanasalimia “Shalom aleichem” , waarabu wanasema
“Salaam aleikhum”.

Maneno hayo hayo, lugha tofauti lakini eti hilo nalo ni duru ya mvutano huku kwetu.

Sasa kuna shida gani kwenye “Nawasalimia kwa jina la JMT?”
Si ushaambiwa unasalimiwa, unatakiwa amani? Kipi cha ziada kinatakiwa hapo?

Yesu sio wa watanzania wote, Allah sio wa wa watanzania wote, lakini JMT ni yetu sote.

“Na kazi iendelee”.

Labda kutoka pale alipoiachia mwendazake(hii ilipaswa kuwapa faraja wale waliomuenzi lakini ndio kwanza mnalalamika), au kwa maana ya kwamba maisha yaendelee pamoja na tofauti za kifikra, mawazo kinzani n.k kwani sisi wote ni wana JMT.

Mkuu Statesman, hii salamu ni uvuvio!
 
Mh. Rais Samia ,

Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza.

Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu.

Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo.

Sasa Mh. Rais napata ukakasi kidogo kwa kauli zako , Kila unapotusalimia,

Huyu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unayemtaja ni nani hasa,

Maana ninavyofahamu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayotokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Sasa hakuna mtu,kitu,watu, vitu kwa jina hilo.

Ingawa naelewa kwamba unataka usionekane kuwa unapendelea Dini yeyote,

Lakini Bado Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Haina hadhi ya kutajwa Kwa jina.

Sio sahihi kuipa hadhi hiyo.

Serikali Haina dini, lakini sisi raia tuna dini zetu, na hatumfahamu huyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mh. Rais, salami hii, inatufikirisha mno sisi wengi,

Unaweza usiambiwe ILA Kuna haja ya kuachana nayo.

Wasalaaam,

Statesman,

Dar es Salaam.

Sijui kwa nini tafakari yako imekupeleka huko. Kwani, si kila salamu ina asili unazozijua wewe na hauwezi kumchagulia mtu akusalimie vipi, labda kama amevunja utaratibu. Na hakuna pahala imelazimishwa kutumia salamu zenye asili ya dini.

Mfano:
1: Habari za asubuhi - Njema/si njema
2: Habari za mchana - Njema/si njema
3: Hujambo/Hamjambo - Hatujambo

Je hapa napo utatuhumu?
Huku kukalili ndo kunafanya kutokuwa wagunduzi, tunapenda kusikia tuliyoyazoea. Kama kuna kosa la kimantiki sawa.
 
Najaribu sana kutafuta hoja yako dhidi ya hoja yangu, au umeiandika kule mwishoni!??? Ukifilisika fikra, afadhali lala tu, kesho kutakucha, sawa!???
Wewe acha mbwembwe zako china wanasalimia kwa salaam zipi au korea kaskazini? Au uhindini, au japan? SASA wanabarikiwa na MUNGU au hapana? FANYA KAZI IENDELEE WACHA MAMBO MADOgoMADOGO. MUNGU huwanyeshea wamwaminio na wasiomwamini neema zake mbambali kama mvua, baridi jua nk,
 
Umeongea pumba kishenzi. Binafsi hii salamu ndio ilitakiwa kutumika miaka yote. Ni salamu nzuri inayojumuisha watanzania wote wenye dini na wasio na dini. ...Kwa nyongeza tu ni unafiki kusema salamu aleikyumu wakati huamini kwenye uislamu hivyo hivyo ni unafiki kusema bwana Yesu asifiwe wakati huamini Yesu ni mwana wa Mungu. Mama ni intelligent na wewe ni kilaza hivyo usimbishie.
Nasisitiza, “Ni unafiki kusema Bwana Asifiwe, kama huamini Yesu ni mwana wa Mungu!” Naongeza pia, ukisha Sema Bwana Asifiwe, ukisema asalam aleykum, unakanusha ulichosema mwanzo and vise vesa!
 
Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,

Hata kwenye kamusi ya kiswahili hakuna salamu ya namna hiyo.

Kamusi imebeba salamu zote na ni fixed.
Tafuteni mengine, kamusi bado inakuhitaji wewe uipe misamiati.
 
Back
Top Bottom