Lakini Bado Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Haina hadhi ya kutajwa Kwa jina.
Sio sahihi kuipa hadhi hiyo.
Sijaona tatizo kwa huo Msemo wa Mheshimiwa Rais na ifike pahala sasa Watanzania ( Sisi ) tupunguze 'Nongwa' zetu na tujikite zaidi kuwa na Mawazo ya Kujenga nchi kuliko 'Kushadadia' vitu vidogo vidogo ( very minor ) na visivyo na Tija wala Mantiki. Tubadilikeni!!Mh. Rais Samia ,
Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza.
Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu.
Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo.
Sasa Mh. Rais napata ukakasi kidogo kwa kauli zako , Kila unapotusalimia,
Huyu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unayemtaja ni nani hasa,
Maana ninavyofahamu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayotokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Sasa hakuna mtu,kitu,watu, vitu kwa jina hilo.
Ingawa naelewa kwamba unataka usionekane kuwa unapendelea Dini yeyote,
Lakini Bado Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Haina hadhi ya kutajwa Kwa jina.
Sio sahihi kuipa hadhi hiyo.
Serikali Haina dini, lakini sisi raia tuna dini zetu, na hatumfahamu huyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh. Rais, salami hii, inatufikirisha mno sisi wengi,
Unaweza usiambiwe ILA Kuna haja ya kuachana nayo.
Wasalaaam,
Statesman,
Dar es Salaam.
Shida ndio hapo. Mama sio mnafiki kwa 100%. Anafanya kile moyo wake unaamini ni haki na kweli. Mambo ya salamu za kidini ni unafiki na kujipendekeza. Mimi sio muislamu na siamini kwenye uislamu, ninaposalimia kwa salamu ya kiislamu indirectly naufundisha uislamu. Mimi sio mkiristu na siamini kwenye ukiristu ninaposalimia kwa salamu ya kikiristu indirectly naufundisha ukiristu. So mama ameamua kuachana na unafiki wa kufurahisha watu na kujipendekeza. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania wote, haimbagui mtanzania yoyote hivyo ni jina linalotuunganisha wote na wala mama hamaainishi kama ni "ni mtu au mungu". Wenye akili pekee ndio watamwelewa mama.Kuna watu wameshajiaminisha kuwa nchi hii kuna dini mbili pekee.
Kwasababu dini nyingine ni watu wakimya na hawapendi migogoro, wanawachukulia kama hawapo.
Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,Shida ndio hapo. Mama sio mnafiki kwa 100%. Anafanya kile moyo wake unaamini ni haki na kweli. Mambo ya salamu za kidini ni unafiki na kujipendekeza. Mimi sio muislamu na siamini kwenye uislamu, ninaposalimia kwa salamu ya kiislamu indirectly naufundisha uislamu. Mimi sio mkiristu na siamini kwenye ukiristu ninaposalimia kwa salamu ya kikiristu indirectly naufundisha ukiristu. So mama ameamua kuachana na unafiki wa kufurahisha watu na kujipendekeza. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania wote, haimbagui mtanzania yoyote hivyo ni jina linalotuunganisha wote na wala mama hamaainishi kama ni "ni mtu au mungu". Wenye akili pekee ndio watamwelewa mama.
Kamusi zinaandikwa na watu. Inaweza kuwekwa tu na BAKITA na TUKI.Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,
Hata kwenye kamusi ya kiswahili hakuna salamu ya namna hiyo.
Ni tatizo kwa wengine na sio lazima Kila unachokifikiri wewe kuwa sawa basi iwe Kwa kola mtu,Sijaona tatizo kwa huo Msemo wa Mheshimiwa Rais na ifike pahala sasa Watanzania ( Sisi ) tupunguze 'Nongwa' zetu na tujikite zaidi kuwa na Mawazo ya Kujenga nchi kuliko 'Kushadadia' vitu vidogo vidogo ( very minor ) na visivyo na Tija wala Mantiki. Tubadilikeni!!
Mimi sina tatizo na salamu. Kwanza kwenye maisha yangu nimeshaingia migogoro na watu kibao kutokana na kutoyapa kipaumbele sana mambo ya salamu.Kaiweke ili ufurahi.
Hivi wewe una elimu gani? Tusiwe tunapoteza kuchangia mada hapa kumbe tunahangaika na mtu mwenye upeo wa chini. Kwani maneno ya kwenye kamusi yalipatikanaje? Kwani maneno kwenye lugha yanapatikanaje? Lugha inakuwa (develop/evolve) jomba. Kama hii salamu haipo kwenye kamusi ndio tayari imeshazaliwa sasa na itaingizwa kwenye kamusi kama ilivyo kwa maneno mengine yaliyozaliwa na kuingizwa kwenye kamusi.Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,
Hata kwenye kamusi ya kiswahili hakuna salamu ya namna hiyo.
Mleta mada anadhani kamusi ilishushwa na Mungu muumba mbingu na nchi.Kamusi zinaandikwa na watu. Inaweza kuwekwa tu na BAKITA na TUKI.
Maneno kama Nang'atuka yaliingiaje.
Una upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo....Hivi wewe una elimu gani? Tusiwe tunapoteza kuchangia mada hapa kumbe tunahangaika na mtu mwenye upeo wa chini. Kwani maneno ya kwenye kamusi yalipatikanaje? Kwani maneno kwenye lugha yanapatikanaje? Lugha inakuwa (develop/evolve) jomba. Kama hii salamu haipo kwenye kamusi ndio tayari imeshazaliwa sasa na itaingizwa kwenye kamusi kama ilivyo kwa maneno mengine yaliyozaliwa na kuingizwa kwenye kamusi.
Hebu pitia tena wimbo huu:Mh. Rais Samia ,
Naamini unafahamu kabisa kuwa, Mwaka 2020 wakati tunampigia kampeni Dr. Magufuli, tulikupigia kampeni na wewe ukiwa mgombea mwenza.
Tuliwaamini nyote wawili kwamba ni watu sahihi kuliongoza Taifa letu.
Sasa wewe ni Rais wetu, hakuna ubishi katika hilo.
Sasa Mh. Rais napata ukakasi kidogo kwa kauli zako , Kila unapotusalimia,
Huyu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unayemtaja ni nani hasa,
Maana ninavyofahamu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayotokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Sasa hakuna mtu,kitu,watu, vitu kwa jina hilo.
Ingawa naelewa kwamba unataka usionekane kuwa unapendelea Dini yeyote,
Lakini Bado Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Haina hadhi ya kutajwa Kwa jina.
Sio sahihi kuipa hadhi hiyo.
Serikali Haina dini, lakini sisi raia tuna dini zetu, na hatumfahamu huyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh. Rais, salami hii, inatufikirisha mno sisi wengi,
Unaweza usiambiwe ILA Kuna haja ya kuachana nayo.
Wasalaaam,
Statesman,
Dar es Salaam.
Mh. Rais Samia ,

Wewe acha mbwembwe zako china wanasalimia kwa salaam zipi au korea kaskazini? Au uhindini, au japan? SASA wanabarikiwa na MUNGU au hapana? FANYA KAZI IENDELEE WACHA MAMBO MADOgoMADOGO. MUNGU huwanyeshea wamwaminio na wasiomwamini neema zake mbambali kama mvua, baridi jua nk,Najaribu sana kutafuta hoja yako dhidi ya hoja yangu, au umeiandika kule mwishoni!??? Ukifilisika fikra, afadhali lala tu, kesho kutakucha, sawa!???
Ufufuo na Uzima?!Nimeanza kuhisi yawezekana unasali kwa Kakobe au Gwajima.
Sheria za dini na utu iko wapi?Anavunja sheria za dini na utu, salamu ya JMT ni salamu ipi, ikoje ??!
Nasisitiza, “Ni unafiki kusema Bwana Asifiwe, kama huamini Yesu ni mwana wa Mungu!” Naongeza pia, ukisha Sema Bwana Asifiwe, ukisema asalam aleykum, unakanusha ulichosema mwanzo and vise vesa!Umeongea pumba kishenzi. Binafsi hii salamu ndio ilitakiwa kutumika miaka yote. Ni salamu nzuri inayojumuisha watanzania wote wenye dini na wasio na dini. ...Kwa nyongeza tu ni unafiki kusema salamu aleikyumu wakati huamini kwenye uislamu hivyo hivyo ni unafiki kusema bwana Yesu asifiwe wakati huamini Yesu ni mwana wa Mungu. Mama ni intelligent na wewe ni kilaza hivyo usimbishie.
Hakuna mantiki yeyote kwenye hoja yako,
Hata kwenye kamusi ya kiswahili hakuna salamu ya namna hiyo.