Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Kama iliyopo Netherlands kunavutia na wala huwezi kuhisi ubaguzi wa aina yoyote.Tamaduni ipi ya kisasa ifuatwe kuweza kuvutia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama iliyopo Netherlands kunavutia na wala huwezi kuhisi ubaguzi wa aina yoyote.Tamaduni ipi ya kisasa ifuatwe kuweza kuvutia?
Kuupoza sura kivipi?Asante kwa muda wako na kuandaa hizi makala.
Waturuki ukiwaangalia sura zao wamepooza sana. Sura zao hazina bashasha
Tamaduni ipi iliyokuwa Uholanzi? Unaweza kueleza kwa uchache?Kama iliyopo Netherlands kunavutia na wala huwezi kuhisi ubaguzi wa aina yoyote.
Umeona sura ya Ozil ndio wengi wana muonekano ule.Kuupoza sura kivipi?
-
Wakarimu na wanapenda watu wapya na kutengeneza urafiki, pia kusaidia.
Ahaa! Sura za huruma na urembo 😊Umeona sura ya Ozil ndio wengi wana muonekano ule.
Uturuki ndio taifa la pili kwa uchakataji, utengenezaji na uuzaji wa tamthilia duniani nyuma ya Mexico.Ngoja niweke kituo hapa niwasome kujua mawili matatu kuwahusu maana sikuhizi najiona kabisa navutiwa mno na Turkish Movies, very addicted kiukweli..!!
Ukisema hakuna tunacho jivunia tembea nchi zingine kisha useme unatoka Tanzania utawasikia watakwambia nini..tabia mbaya sana kujidharau,nchi za dunia ya kwanza wewe unatamani kujiringanisha nazo nani kakudanganya,hata sisi tuna vya kwetu..ingia hata youtube utazame nchi gani ya kwanza kwa vivutio,maisha hayo ya Uturuki unayoyatamani hata hapa yatakuja miaka ijayo,au we hujui ukimfufua mTanzania aliyekufa mwaka 1980 akiona leo pakoje si anakufa tena? Msipende kujidharauasante sana mleta mada hakika nimepata kufahamu nisichokijua kuhusu uturuki.
sijajua sisi huku tunakwama wapi kwa kweli hakuna tunachoweza kujivunia mbele za watu.
utruki ni taifa la kiislam nadhani, lakini hatua ilzopiga sio ndogo kwa kweli na ni nadra sana kusikia mchafuko huko.
pia hata ukiangalia kazi zao sio za ubabaishaji.
nadhani ndio wenye feza schools, ona matokeo yake kwa kweli wapo juu mno itoshe kusema.
Uislamu wa Uturuki ni tofauti na UAE. Ijabu na bakhrashia ni nadra sana kuziona mitaaniasante sana mleta mada hakika nimepata kufahamu nisichokijua kuhusu uturuki.
sijajua sisi huku tunakwama wapi kwa kweli hakuna tunachoweza kujivunia mbele za watu.
utruki ni taifa la kiislam nadhani, lakini hatua ilzopiga sio ndogo kwa kweli na ni nadra sana kusikia mchafuko huko.
pia hata ukiangalia kazi zao sio za ubabaishaji.
nadhani ndio wenye feza schools, ona matokeo yake kwa kweli wapo juu mno itoshe kusema.
Bila Shaka Uturuki ni Taifa la Kiislam,Uturuki Ni mwanachama wa Jeshi la kujihami la Ulaya na Marekani (NATO)asante sana mleta mada hakika nimepata kufahamu nisichokijua kuhusu uturuki.
sijajua sisi huku tunakwama wapi kwa kweli hakuna tunachoweza kujivunia mbele za watu.
utruki ni taifa la kiislam nadhani, lakini hatua ilzopiga sio ndogo kwa kweli na ni nadra sana kusikia mchafuko huko.
pia hata ukiangalia kazi zao sio za ubabaishaji.
nadhani ndio wenye feza schools, ona matokeo yake kwa kweli wapo juu mno itoshe kusema.
Yeah wana sura za huruma kweliAhaa! Sura za huruma na urembo 😊
HASSAN SAS "MNYAMA"dah! Nimemkumbuka huyu goal keeper Mkuu kikosi kilikuwa moto ukimjumuisha naHasan Sas
Alivunja mipaka ya kimuenekanoMchezaji was Kwanza kumuona amenyoa kiduku alikuwa UMIT DAVALA 2002 enzi za HASSAN SAS na HAKAN SAKUR
Jeshi lilihitaji kumuondoa Erdogan madarakani likiamini serikali yake imeshindwa kuuongoza Uturuki lakini halikufanikiwa sababu ya mjumuiko wa vikosi tofauti na askari watiifu.Heshima nyingi mkuu
Sasa kwa ni ni wanajeshi walitaka kuiangusa serikali miaka ya karibuni??