Jamhuri ya Uturuki | Türkiye Cumhuriyeti

Asante kwa muda wako na kuandaa hizi makala.

Waturuki ukiwaangalia sura zao wamepooza sana. Sura zao hazina bashasha
Kuupoza sura kivipi?
-
Wakarimu na wanapenda watu wapya na kutengeneza urafiki, pia kusaidia.
 
Kama iliyopo Netherlands kunavutia na wala huwezi kuhisi ubaguzi wa aina yoyote.
Tamaduni ipi iliyokuwa Uholanzi? Unaweza kueleza kwa uchache?

Hata Uturuki hamna ubaguzi
 
Ngoja niweke kituo hapa niwasome kujua mawili matatu kuwahusu maana sikuhizi najiona kabisa navutiwa mno na Turkish Movies, very addicted kiukweli..!!
 
Ngoja niweke kituo hapa niwasome kujua mawili matatu kuwahusu maana sikuhizi najiona kabisa navutiwa mno na Turkish Movies, very addicted kiukweli..!!
Uturuki ndio taifa la pili kwa uchakataji, utengenezaji na uuzaji wa tamthilia duniani nyuma ya Mexico.

Chini ya mzalishaji kiongozi TRT World. Ikiwa na waongozaji nguli mifano ya Nuri Bilge Ceylan, Yilmaz Güney na Ferzan Özpetek.
 
Ukisema hakuna tunacho jivunia tembea nchi zingine kisha useme unatoka Tanzania utawasikia watakwambia nini..tabia mbaya sana kujidharau,nchi za dunia ya kwanza wewe unatamani kujiringanisha nazo nani kakudanganya,hata sisi tuna vya kwetu..ingia hata youtube utazame nchi gani ya kwanza kwa vivutio,maisha hayo ya Uturuki unayoyatamani hata hapa yatakuja miaka ijayo,au we hujui ukimfufua mTanzania aliyekufa mwaka 1980 akiona leo pakoje si anakufa tena? Msipende kujidharau
 
Uislamu wa Uturuki ni tofauti na UAE. Ijabu na bakhrashia ni nadra sana kuziona mitaani
 
Bila Shaka Uturuki ni Taifa la Kiislam,Uturuki Ni mwanachama wa Jeshi la kujihami la Ulaya na Marekani (NATO)

Uturuki imeomba Mara kazaa kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za Ulaya ,kwavile limebakana na nchi za Ualaya,bila mafanikio..jiulize mwenyewe kwanini

Waturuki wamezagaa kwa.wingi Sana Ulaya ya magharibi,wakijushuhulisha na biashara tafauti,hasa za kuuza mboha mboga na mikahawa ya kula chakula(restaurant).

watalii wengi kutoka nchi za Ulaya ,huvurika katika beach za Kituruki wakati wa majira ya joto(Summer)

Bado Uturuki ni taifa linaloendelea huwezi kushindanisha na mataifa ya Ulaya,..
 
Aiseee waturuki ni mafia sana wanachowafanyia dada zetu kwenye huu mradi wa reli ninhatari wanawangandua hovyosana Ila napenda sana ubabe wao wanaichangamsha dunia
 
Heshima nyingi mkuu
Sasa kwa ni ni wanajeshi walitaka kuiangusa serikali miaka ya karibuni??
 
Heshima nyingi mkuu
Sasa kwa ni ni wanajeshi walitaka kuiangusa serikali miaka ya karibuni??
Jeshi lilihitaji kumuondoa Erdogan madarakani likiamini serikali yake imeshindwa kuuongoza Uturuki lakini halikufanikiwa sababu ya mjumuiko wa vikosi tofauti na askari watiifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…