Jamhuri ya Uturuki | Türkiye Cumhuriyeti

Ngoja niweke kituo hapa niwasome kujua mawili matatu kuwahusu maana sikuhizi najiona kabisa navutiwa mno na Turkish Movies, very addicted kiukweli..!!
Daa kama mm hawa jamaa wana cheza kwa uhalisia kabisa.
 

Mkuu acha kupotosha uturuki haijazivamia Syria,Iraq na libya kwa sababu ya wakimbizi,bali imeivamia kwa ajili ya kuwa dhibiti wakurdi.
Haya ngoja nikubaliane na hoja yako ya kwamba ameivamia Iraq na Syria kwa ajili ya wakimbizi.
Je na sypulas anadhibiti wakimbizi gani ? Uturuki iliivamia sypulas na kuikalia kwa nguvu sypulas kusini na wakaanzisha serikali nyingine kibabe ndani ya nchi ya watu, yaani mfano uganda aivamie Tz alafu iyachukue kwa nguvu baadhi ya maeneo ya Tz alafu ahanzishe serikali nyingine kwenye maeneo iliyo yateka.
Je Libya ana fanya nn?
Siku zote baraza la usalama likisha pitisha azimio ni lazima ulifuate hata kama linaenda kinyume na masilai yako lakini uturuki haifanyi hivyo nchini Libya.
Huliza kilicho mkuta Ufaransa alipo jitia kimbelembele kuzizua meli za Uturuki zilizo kuwa zinapereka silaha nchini Libya.
Na vip kuhusu uturuki kwenda kwenye miliki ya maji ya Ugiriki na kuanza kuchimba mafuta kibabe huku ikiitisha Ugiriki ya kwamba ukijaribu kuleta zakuleta itaitia adabu?, yaani kenya ije Tz kwenye mgodi wa buzwagi ianze kuchiba madini kibabe ujinga gani huo?
Mm ni muislam na Uturuki ni waislam wenzangu lakini ni razima ukweli usemwe ya kwamba Uturuki ina tabia za kibeberu .Na ndio maana Uturuki linapo kuja suala la Palestina huwa ana kigugumizi kingi mno kwa sababu anajua kabisa akijaribu uiandama Israel atasutwa.
 
Sehemu ya Cyrus iliyovamiwa na Waturuki Ni sehemu wakaazi wake wengi ni Waturuki ambao walikuwa wananyanyaswa na Waturuki

Kisiwa Cha Cyprus kimegawanyika sehemu mbili inayokaliwa na Wagiriki na inayokaliwa na Waturuki..
 
Sawa sawa,

Uturuki, Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji na Uchina wote wanafanya yale yale.
 

Sehemu ya Uturuki katika bahari ya Mediterrania ©FajrGus


Moja ya eneo katika Kanda ya Antolia ya Kati ©FajrGus

[SUB][/SUB]
[SUB]Jijini Trabzon ©FajrGus[/SUB]
 

Royal Wings Antalya Hotel


Naruto Lara Resort & Spa


Hilton Dalaman Resort & Spa
 
Uturuki isipoangaliwa na Waarabu itakuja kuwasumbua sana. Kihistoria imesumbuana na Wairan wakatoka suluhu na baadae Warusi ila ikashindwa.
Kwa sasa kila nchi ya Kiislamu yenye vurugu utakutana na Mturuki.
Uko sahihi kabisa, Uturuki inajitahidi sana kujipenyeza kwenye Ulimwengu wa waarabu na hili waarabu hawalipendi kabisa.

Ila udhaifu wa waarabu ndio umempa mwanya Uturuki kujitanua huko Syria na Libya, wao ndio walishirikiana nae kuihujumu Serikali ya Assad, sasa hivi ndio wamemgundua siyo rafiki mzuri ila ana ajenda yake ya siri ya kujitanua kwenye ardhi ya waarabu.
 
Feza boys ilikuwa shule nzuri until pale walipoanza kuleta uislam.
 
Kuna machafuko sana ukiacha vita vyao na wakurd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…