Jamhuri ya Uturuki | Türkiye Cumhuriyeti

Basilica Cisterns eneo linalopatikana karibu na Hagia Sofia zaidi Sarayburnu likiwa na historia toka karne za mwanzo kabisa. Cisterns enzi zake ilikuwa sehemu ya sanaa, maonesho, matangazo na hafla fulani chini ya ufalme.

Ukiitazama Cisterns utaona dupla ya Hagia Sofia, ndiyo! Nyenzo na malighafi zilizojenga Hagia ndiyo zilizotumika vyema kusimamisha Basilica Cisterns.

Eneo hili kwa miaka ya hivi karibu limekuwa likitiwa maji kuakisi uhalisia kwa watalii wanaongia kushuhudia namna Ottoman Empire ya wakati ule na Uturuki sasa ilivyomaliza maisha toka karne ya 16.
 
Huku ndio kwa kina ertugrul bey, komando tugrut, mzee suleyman shah, suleiman na kina kamanda gevdet.
 
Hivi hapa si ndo ardhi ya mfalme Suleyman??
 
Mkuu isarjorsergio niliambiwa hapo uturuki Kuna nyumba ambamo bikira Maria mama yake Jesus, alkua anaishi na pia hii ndo ilikuwa falme ya Suleyman? Naomba KUJUA tafadhali
 
Mkuu isarjorsergio niliambiwa hapo uturuki Kuna nyumba ambamo bikira Maria mama yake Jesus, alkua anaishi na pia hii ndo ilikuwa falme ya Suleyman? Naomba KUJUA tafadhali
Ndiyo! Hii ndio ilikuwa himaya ya Ottoman Empire nyumbani kwake Süleyman. Soma kwa utulivu nimeeleza vyema mwanzo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…