Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

Jamhuri yakata rufaa dhidi ya Masheikh Uamusho

H

Hata sijamaliza kusoma uliposema ni dini ya haki. Shida inaanzia hapa kujiona nyinyi ni mko kwenye haki kuliko wengine. Kama Zanzibar mtu unakula hotelini au mgahawani unashangaa, wafuasi wa dini fulani wamekuvaa
Msipodhibitiwa vikundi vya kigaidi vitakuwa vingi sana kama Msumbiji, Nigeria, Somalia, n.k.
Hapa nchini mlianza kidogo, makanisa yamechomwa moto, padri amemwagia Tindikali n.k Tangu hao magaidi wamewekwa ndani. Ni amani mpaka leo. Sijasikiq kanisa limechomwa moto au kiongozi wa dini ya kikristo amemwagiwa tindikali.
Kiufupi nyie mnamatatizo sana. Dini zote zimeanzishwa na wanadamu na hakuna dini iliyoanzishwa na Mungu.
Wakristo wameenda shule na pia dini yao ina hubiri upendo

Wewe bado mchanga sana, huujui uislamu kiundani, unaongea vitu usivyo na uhakika navyo ama chuki tu zinakusumbua dhidi ya waislamu, muda nilishakusoma.

Uislamu ni amani. , ndio maana nikakuomba ushahidi wa hao masheikh, je! ni wapi wamelipua!!!!!
 
Walihamasisha Nini please
Hao walikuwa na movement kali ya kijihad ya kutaka kuiondoa Zenji kwenye muungano wakidai wanasiasa wameshindwa sasa ni zamu yao kama viongozi wa kidini kutekeleza hilo na lengo kubwa ni zenji iwe dola la kiislamu kama nchi nyingine za kiislamu kwenye mihadhara yao ilikuwa full tafrani pitia tu clip zao youtube uwasikilize
 
kuna mzee mmoja kaishi USA miaka 21...na kipindi tukio la 9/11 alikuwepo kule anakwambia lile tukio limetabiriwa kutokea toka zamani sana sio eti ni ugaidi kama tunavyo karirishwa huku,ile ni mipango ya wazungu kuuhadaa ulimwengu tu.
pitia hii mkuu
 
Kabla ya mashekh kukamatwa kulikuwa na vitendo vya uhalifu kama mapadri kumwagiwa tindikali na makanisa kuchomwa moto. Ila walipokamatwa mpaka leo hii ni amani, hakuna padri au kiongozi yoyote kamwagiwa tindikali na makanisa hayajachomwa moto mpaka leo.
Kinachoogopesha zaidi, hawa watu wakiachiwa huru huenda kitaibuka kikundi cha Islamic State km Msumbiji, Nigeria na Somalia .
Wakati mwingine bora kuungana na Yeriko Nyerere anayejinasibu kuamini katika mizimu maana hizi dini hazieleweki
 
proof yako ni wikipedia?...lile tukio lilipangwa na usa wenyewe kaka..wake up!!
Whether limefanywa na USA au Alqaeda lakini shambulio la WTC ni la kigaidi.

Unaweza ukaweka hizo conspiracy zako kwamba USA ndio waliolipua WTC?
 
Back
Top Bottom