Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
- Thread starter
- #81
Najua hamuwezi kujibu, Katika mijadala hii inayo gusa itikadi za kidini ninyi huwa mnaongozwa na chuki dhidi ya waislaam na uislaam. Ndio maana unawahukumu washukiwa wakati Tukio halisi la Kigaidi lilifanyika Arusha na Waziri Emanuel Nchimbi akatangaza kuwa ni tukio la Kigaidi ila kwa sababu aliye husika sio Muislaam mpo kimya.
Unaniuliza habari isiyonihusu Mimi na isiyohusiana na mada iliyopo mezani
Umeleta mada inayohusiana na Masheikh wa UAMSHO Zanzibar halafu unauliza habari ya Gaidi aliyetupia Bomu kanisani Arusha, wapi na wapi?
Anzisha mada yake hiyo, kwasasa jadili mada iliyopo mezani acha kisebusebu