Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Tatizo hujui kitu.Chui Security amlipe mlinzi wa getini 700!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hujui kitu.Chui Security amlipe mlinzi wa getini 700!?
Kwa uwelewa wangu iko hiviChui Security amlipe mlinzi wa getini 700!?
Jua unavyojua, ila hizo kamba tafuta wa kuwafunga nazoTatizo hujui kitu.
Utakua security officer 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤓🤓🤓Hello!
Inachekesha sana
Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha , awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi.
Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine.
Nachukua jumla milioni na point.
Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makapuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2.
Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue. Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui.
Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.
Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako?
Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?
Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.
Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.
Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi.
Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
TPA ina walinzi wake wenye mikataba ya kudumu, kwakua hawatoshi ndio huingia mikataba na kampuni binafsi za ulinzi kuleta watu wao. Na hao ndo hulipwa hzo 150k zenu.Jua unavyojua
Duuh Yaan una malengo ya kuendelea kuajiriwa mpaka miaka 40? Aisee watu kwel wanatofautiana mitazamoHello!
Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine. Nachukua jumla milioni na point.
Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makampuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2. Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue.
Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui. Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.
Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako? Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?
Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.
Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.
Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi. Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
Siku hizi watu na Masters zao wanalinda kwa watu.Ni kazi tu
Sina pesa nyingi ila za mboga ninazo
Unajishaua tu kwanza ujiamini unadhani wanakudharau kumbe wewe ndie chanzo cha kujidharau tusidangayane huwezi kukesha alafu mchana upate muda wa kufanya kazi nyingine tunawaona mkiludi mnavio lala fofoHello!
Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine. Nachukua jumla milioni na point.
Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makampuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2. Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue.
Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui. Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.
Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako? Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?
Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.
Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.
Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi. Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
[emoji2957][emoji2957]Ahaaaaheeeerheee!!! Nakubali elimu mnayo lakini pesa? Hamna! Pesa ndio inayomfanya mtu asiwe mlinzi wa mali za watu usiku kucha. Tupo pamoja?
Walinzi wote duniani peponi...mungu amlindeHello!
Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi.
Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine. Nachukua jumla milioni na point.
Unakuta mtu maisha hana ila kwakuwa amenikuta getini basi ananichukulia kama walinzi wa makampuni ya kinyonyaji ya mshahara wa laki 2. Kuna mzee jana kanipa mia 2 yeye ndiye kanifanya nianzishe Uzi huu. Alinipa buku nimpe muuza Tangawizi sh.800 na chenji ambayo sh.mia 2 nichukue.
Huyu mzee mbaya zaidi ni mtumishi mwenzangu ila ni kitengo kingine, ni wa mkataba na Mimi ni wa kudumu nimemzidi mshahara parefu tu ila nadhani hajui. Nimemzidi elimu kwa umbali mkubwa.
Kisa kingine kiko hivi; Siku moja nilimwita classmate wangu na rafiki aje kazini tuongee issue ya kazi. Aliponikuta getini alinishituka na kunipeleka chini. Ilikuwa mida ya Mimi kuondoka kazini nikamwambia unapita wapi akasema, nikaenda kuchukua gari nikampakia akawa anaduwaa tu. Mara hii gari yako? Mara eeeh unalipwa sh. ngapi?
Nikamwonyesha salary slip na bank statement ya mwezi nikamwambia jumlisha hapo akapagawa. Ni fedha ndogo lakini hakutarajia kuwa mlinzi nikunje milioni na ushehe.
Kwenye maisha nje ya mshahara na posho walinzi tuko vizuri kwenye biashara kuliko watumishi wengine maana tuna muda mwingi wa kufanya biashara mbalimbali.
Nina degree ya HRM ila sioni sababu ya kuacha ulinzi ambao unanipa muda mwingi kujitafutia nje ya ofisi. Nikifika 40 ndipo nitahamia ofisi (kufanya shift ya kitengo).
SawaaaHello!

Na usingizi huwa unakopesha muda ambao hujalalaUnajishaua tu kwanza ujiamini unadhani wanakudharau kumbe wewe ndie chanzo cha kujidharau tusidangayane huwezi kukesha alafu mchana upate muda wa kufanya kazi nyingine tunawaona mkiludi mnavio lala fofo
Aisee nilimwachia muuza TangawiziSasa hiyo mia mbili ulichukua au uliikataa?
Hivi mia mbili wewe unaichukuliaje?Sasa kukupatia 200 iliyobaki kama chenji amekudharau au wewe ndiye unaleta dharau? Maana sijaona aliko kufanyia dharau km ni suala la kukuachia hiyo 200.
we una matatizo ya akili siyo bure. Kwani hiyo milioni ilianza na ngapi? Hela ni hela tena ya bure? Unaweza kununua sigara, kumnunulia mwanao biscuit, pipi. Huko ni kutojiamini na inaonekana mengi uliyoyaeleza ni ya uwongo.Hello!