Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

Chui Security amlipe mlinzi wa getini 700!?
Kwa uwelewa wangu iko hivi
Security company kama hiyo Chui, moku nk. Haziwezi kumlipa mlinzi laki 7,hiyo laki 7 inaweza ikawa ndio hela anayolipa mteja kwenye kampuni then mlinzi atapata 150k. Mara nyingi mlinzi anaelipwa laki 5 nakuendelea huyo huwa hayupo Chini ya kampuni ya ulinzi huyu huwa anaingia mkataba na client moja kwa moja. Kuna jamaa kasema hapo juu mlinzi wa TPA anakunja laki7 hapo huyo mlinzi ameajiliwa na TPA yenyewe na sio na kampuni ya ulinzi
 
Utakua security officer 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤓🤓🤓
 
Jua unavyojua
TPA ina walinzi wake wenye mikataba ya kudumu, kwakua hawatoshi ndio huingia mikataba na kampuni binafsi za ulinzi kuleta watu wao. Na hao ndo hulipwa hzo 150k zenu.
 
JAYJAY na ujue kutofautisha kati ya "contract of service na contract for service". Pale TPA mpaka SUMAJKT wapo wanalinda ila hawapo kwenye payroll individually wao wanajuana na mabosi zao huko walikotoka.
 
Duuh Yaan una malengo ya kuendelea kuajiriwa mpaka miaka 40? Aisee watu kwel wanatofautiana mitazamo

Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
 
Unajishaua tu kwanza ujiamini unadhani wanakudharau kumbe wewe ndie chanzo cha kujidharau tusidangayane huwezi kukesha alafu mchana upate muda wa kufanya kazi nyingine tunawaona mkiludi mnavio lala fofo
 
Ahaaaaheeeerheee!!! Nakubali elimu mnayo lakini pesa? Hamna! Pesa ndio inayomfanya mtu asiwe mlinzi wa mali za watu usiku kucha. Tupo pamoja?
[emoji2957][emoji2957]
 
Walinzi wote duniani peponi...mungu amlinde

Raisi wetu .
 
Sawaaa

Tushajua unapokea milioni na ushehe

Hhhhhhhh
 
Sasa kukupatia 200 iliyobaki kama chenji amekudharau au wewe ndiye unaleta dharau? Maana sijaona aliko kufanyia dharau km ni suala la kukuachia hiyo 200.
 
Unajishaua tu kwanza ujiamini unadhani wanakudharau kumbe wewe ndie chanzo cha kujidharau tusidangayane huwezi kukesha alafu mchana upate muda wa kufanya kazi nyingine tunawaona mkiludi mnavio lala fofo
Na usingizi huwa unakopesha muda ambao hujalala
 
Sasa kukupatia 200 iliyobaki kama chenji amekudharau au wewe ndiye unaleta dharau? Maana sijaona aliko kufanyia dharau km ni suala la kukuachia hiyo 200.
Hivi mia mbili wewe unaichukuliaje?
Maana alisisitiza kabisa chenji chukua wewe.
Ni heri angeniambia tu mpe muuza Tangawizi pesa yake bila kusema kuna chenji ya sh. Mia 2 ambayo kasisitiza nichukue
 
we una matatizo ya akili siyo bure. Kwani hiyo milioni ilianza na ngapi? Hela ni hela tena ya bure? Unaweza kununua sigara, kumnunulia mwanao biscuit, pipi. Huko ni kutojiamini na inaonekana mengi uliyoyaeleza ni ya uwongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…